Yaani nakuambia tena haina dhambi kama ya dini
Itakuwa ni biashara moja ya uhakika kwa Tanzania ya sasa kama zingine kufungua kanisa, kuanzisha chama cha siasa, kuwa chawa mwandamizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nakuambia tena haina dhambi kama ya dini
Mtoto wa nyoka ni nyoka. Na msemo usipoweza kupigana nao ungana nao. Once born in a spy house you are always a spy. And once a spy always a spy
Mkuu mimi naona ndugu Pascal Mayalla hakufikiri hii hoja yake kwa kina ama amesukumwa na kazi maalum, biasness, roho ya kwa nini au ushabiki tu.Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
Excellent postAkizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
Habari mbaya sana kwa Mbowe
Hilo nalo neno.....Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
Why attack on him personally?M
Mkuu mimi ndugu P. Mayalla hakufikiri hii hoja yake kwa kina ama amesukumwa na kazi maalum, biasness, roho ya kwa nini au ushabiki tu.
Kwa mazingira ya sasa ambapo the government is the state, hakuna separation, unatenganishaje chama kilichounda serikali na serikali au dola/state kutochomeka mirija yake kwenye chungu cha fedha ya umma?
Kwa kuwa mazingira na muundo wa nchi yetu, chama tawala hunufaika automatically na serikali iliyopo maana ni yake, ndio maana hiyo ni vyema na muhimu ruzuku iwepo across the opposition angalau kuleta usawa!
Pili, namuona P. Mayalla ana mindset ya ujamaa katika mazingira na nyakati za upepari na teknolojia mpya. Anafikiria kama vile wanachama wa vyama vya upinzani sio raia watanzania na hawana haki manufaa ya kodi zao.
Pascal Mayalla Hana tofauti na Mwendazake aliyekuwa anasema kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yaliyoshikiliwa na upinzani, na hakika hakupeleka.
Inawezekana aliingiliwa na roho ya Mwendazake wakati akichangia hoja hiyo, maana hakuna mwananchi aliyemtuma kuzuiwa upinzani kupata ruzuku.
Pascal Mayalla anaona kuwa ni sawa na ni haki upinzani uchangie kodi lakini sio sawa wala haki kwa upinzani kunufaika na keki ya Taifa. Hii ni roho mbaya daraja la juu! Ni Roho ya kwa nini tu!
Pascal Mayalla is a dangerous dagger in setting up opposition as well as suicidal political trends!
He should know best that his stabs on Kabendera's back are still fresh in people's memories!
Siyo kweli mbona nchi iko funded na mashirika ya nje. Zaidi ya nusu ya bajeti yetu inategemea mikopo na misaada kutoka nje ungesema basi nchi iache kwanza kuwa funded na mashirika ya nje uone kama inaezekana.Sikubariani na huo ushauri maana kama hatutakua na utamaduni wa kufund hivyo vyama vitakua funded hata na mashirika ya nje kwa mlengo ambao hauna tija kwa taifa
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
KAZI ya hizo fedha za ruzuku ni nini?.Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
Visipopewa vitakufa kitabaki Chama Dola ambacho ndicho kilichoshika Hatamu !!Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
Germans wameacha lini ku-fund ACT na huyo CDM wenu?Sikubariani na huo ushauri maana kama hatutakua na utamaduni wa kufund hivyo vyama vitakua funded hata na mashirika ya nje kwa mlengo ambao hauna tija kwa taifa