300% correctYupo sawa kabisa. La sivyo na vilabu vya mpira vianze kupewa ruzuku, kila mtu afaidi kwa upande wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
300% correctYupo sawa kabisa. La sivyo na vilabu vya mpira vianze kupewa ruzuku, kila mtu afaidi kwa upande wake
Unajua siasa ni addiction kama kamari, pombe, sigara hata uchawiItakuwa ni biashara moja ya uhakika kwa Tanzania ya sasa kama zingine kufungua kanisa, kuanzisha chama cha siasa, kuwa chawa mwandamizi.
TANU yetu nimeikumbuka 🙏Kwanza angeanza kushauri chama chake cha CCM kirudushe mali zote za umma ikiwemo viwanja vya mpira.
Hii ni dust, nipo kwenye harati za kuanzisha chamaAkizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
Ni vipi tukifanya assumptions kwamba mayala katumwa kusema aliyosema na vipi kama tukiassume mayala anataka kutoka kwa kuangalia mfumo ulivyo kwasasa na vipi tulifanya assumption kwamba mayala sasa ameacha njaa zake na kaamua kusimama kupata alichokipigania kwa muda mrefuPascal Mayalla anataka kutia mchanga vitumbua vya Watu.
Naunga mkono hoja Kwa 100%. Mbona mashirika NGOs hawapati ruzuku na kazi inaendelea mbele? Vyama visivyokuwa na wabunge au madiwani vinawezaje kujiendesha Hadi kupata viti?Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
Na mimi na cement hapo huwezi kuwagawaia kundi dogo la wahuni kodi zetu kwa mgongo wa ruzuku wakatafute zaoPascal Mayalla , Kuna hatari gani unaziona kwa vyama vya siasa kupewa ruzuku? Unasukumwa na nn ktk ushauri wako huu?
Je, ni uzalendo wako kwamba kwa umaskini wa nchi yetu fedha hizi zingeweza kufanya mambo mengine?
Au unataka vyama vya upinzani viwe dhaifu ili vife kabisa , halafu chama chako ccm kitawale daima?
Unaposema vyama vya upinzani vichangiwe na wanachama, wafurukutwa na wapenzi wa chama, unamaanisha kweli? Hujui kwamba ccm humuandama mpk kumfilisi yeyote mwenye ukwasi anayejinasibbisha na vyama vya upinzani??
Ndg. Pascal, wakati mwingine uwe unapata akili kama zetu za wale tuliozaliwa kabla ya Uhuru wa hii Tanganyika. Nikiwa na maana ya miaka ya 50s! Sisi wa miaka hiyo, huenda hata wale wa 60s wanauwezo wa kuelewa kuwa sisi vijana wa TYL, vijana wa TANU YUSLIKI, wakati huo, upende TANU, usiipende, LAZIMA upewe kadi ya TANU! Hata kwenye michango, ile ya kuchangia jenzi mbali mbali za majenge ya TANU, utachanga tu, kwani hakuna mbadala! Hivyo basi, hiyo hiyo TANU ikaja kugeuka na kuwa CCM, ikimiliki ofisi zote, tangu za kitongoji hadi za jiji, ni mali ya CCM! Sii hivyo tu, mali zote zilizochangiwa na kila mwananchi, uwe mwanachama ama la, vikiwemo viwanja vyote vya michezo n.k.Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
Katika hili, Naunga Mkono Hoja kwa 100%.Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
Chadema lazima mpinge mana ruzuku ni msingi wa chama chenu 😂Nadhani huu ndio mchango duni zaidi kwenye kongamano hilo , yeye anawaza ruzuki ni hela ya kula tu
Mayala yuko sahihi. Ni matumizi mabaya ya pesa za Umma. Vyama vijitegemee. Kama ni misaada ya nje hata sasa wanapata pamoja na kupata ruzuku.Sikubariani na huo ushauri maana kama hatutakua na utamaduni wa kufund hivyo vyama vitakua funded hata na mashirika ya nje kwa mlengo ambao hauna tija kwa taifa
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Pamoja na ruzuku CCM huchota pesa za serikali waziwazi bila kificho.Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861664
Zungumzia CCM inayojichotea pesa za serikali.Chadema lazima mpinge mana ruzuku ni msingi wa chama chenu 😂
Bilioni 40 za EPA mpaka Che Nkapa akalalamika !Pamoja na ruzuku CCM huchota pesa za serikali waziwazi bila kificho.