Asante kiongozi ni kweli elimu inahitajika katika eneo hili.Hii ni moja kati ya mkakati wa kutoa elimu.Fursa nzuri kwa wafanyabiashara wa mtandaoni, sasa masoko ya dunia yameamia mtandaoni.
Ila sasa website maintenance na jinsi ya kutumia hizo website mtoe darasa ili wafanyabiashara wasiogope na wajue faida zake pia. Kwa nini uwaandikie faida zake? kwa sababu masoko kama haya watu wanajiunga for free kwenye baadhi ya social medias, elimu inahitajika. Hongera. .
Ndio maana nikaona nitoe ushauri wangu kwakoAsante kiongozi ni kweli elimu inahitajika katika eneo hili.Hii ni moja kati ya mkakati wa kutoa elimu.
Nini ni kazi ya tovuti kwa mjasiriamali?
Watu wengi huwa wanapenda kuwa na kurasa za mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara zao kama vile,FB,twitter,Whatsap n.k. Wengine hujiongeza na kuwa na blogs,na hata kuwa na website kabisa.Hii yote ni katika jitihada za kutaka kuwafikia wateja wengi. Kitu watu wengi wanasahau ni kwamba bidhaa...www.jamiiforums.com
Website pamoja na email za domain yako mfano info@vicenza.comUkisema website email 5 inamaana gan,
Hello Karibu tuwasiliane Email info@tzhosts.com au 0757323060Nahitaji website ya biashara ya nguo za kike.