MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ila mzee wa Kino tukubaliane huyu jamaa kama ni uchawa kavuka level zote. Ni supreme chawa. Unaambiwa kuanzia Mkapa alikuwa anampenda... yaani marais wote isipokuwa mwinyi na Nyerere walimkubali...Ngoja tumsubiria mwamba makonda tumsikie anasemaje
Ova
