Amekusahaulisha wewe. Ya Makonda ni matokeo ya kazi nzuri ya Zitto na Lissu. TULIWAONYA SANA.Kiukweli upepo umebadilika ghafla baada ya taarifa ya RC Makonda kupewa marufuku ya kuingia nchi ya mabwanyenye, Marekani.
Kabla ya taarifa hizi habari ya mjini ilikuwa ni Zitto na Kangi Lugola na kwa week end hii nina hakika wameshasahaulika.
Maendeleo hayana vyama!
Uzuri hii ni 2020Tanzania tulikua na bahati kubwa kuongozwa kwa miaka 20 mfurulizo na maraisa wawili (BWM na JK) ambao ni wanadiplomasia. Nyota yetu ling'aa sana duniani na tuliheshimika mno. Sasa ndani ya miaka mitano ya uongozi wa kimabavu heshima hiyo imepotea na kwa mara ya kwanza kiongozi wa tanzania anapigwa travel ban hadharani.
Tena mbaya zaidi wiki ijayo kenya itakua kwenye headlines kama nchi ya kwanza africa kuanza mazungumzo ya mkataba wa kiuchumi (trade agreement) na marekani huku tanzania ikiwa kwenye headlines kama nchi ambayo imekiuka haki za binadamu mpaka viongozi wanaanza kuzuiliwa kuingia US. Kuna wakati usingefikiri Tanzania ingefika hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nakubaliana na wewe kwa sababu sikumbuki hii kuwahi kutokea Tanzania. Bila shaka kuna mengi walioyagundua!Naona mambo ya zimbabwe yakiinyemelea tanzania.
Hapo CIA washafanya uchunguzi matukio ya kutekana halafu wakapata jibu wahusika wakuu wakina nani.
Marekani ndio nani kwanza na kwa utakatifu gani alio nao kwa kuziamulia nchi mbali mbali Duniani zenye misingi yao personal? Eti tuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Kwa utakatifu gani walio nao?
Serikari inazuia mikusanyiko ya vyama vya siasa wakati usio kuwa wa campaign ili kuzuia uvunjifu wa amani nchini, leo hii Marekani anakurupuka anataka mikusanyiko iwepo hata kama haijaruhusiwa na sio kipindi cha campaign na amani ikivunjika nchini mambo yakiharibika nchini hawa jamaa hamto wasikia kokote wakituimbia suala la amani zaidi ya kutucheka,
Na mpango wao wa NWO wanataka wawe na say juu ya taifa lolote ili wapate nguvu ya kuitawala Dunia kirahisi,
Huyu mmarekani muovu kabisa huyu, hawezi akaja kukuimbia wimbo wa haki za binanamu kakujulia wapi na kwa utakatifu gani alio nao, asilimia 100% ya maamuzi ya hawa jamaa juu ya taifa lolote Duniani ni kwa lengo la kubomoa sio kujenga, hata kama mtaona faida mwanzoni baada ya kuyatekeleza maagizo yao mwishoni ni hasara,
Namuombea maisha marefu na afya Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli ni mwamba, hata kama wakituzuia kwenda huko kwao Marekani kwani Marekani ni Mbinguni? Wapuuzi tu hawa,
Toa ujinha wako hapa waliosaini mikataba ya kimyonyaji si watamzania ma waafrika kwa maslahi ya wao binafsi na watu wao wa karibu?? Sio mawaziri na marais wa nchi hizo??Ukitulia na utafakari utanielewa, huu ndio wakati wa Waafrika kuwa kimoja, raslimali zetu zimeliwa tangu enzi za mababu, sisi wajukuu tuungane nyuma ya Magufuli na kuhakikisha tumekata mirija yote. Wajukuu wa mabeberu wanatupiga mabao kwa sababu za migawanyiko yetu ya kijinga.
Wanataka kushika watu pabaya ss[emoji23][emoji23]
Hakuna cha ushoga wala nini, acheni hicho kisingizio cha kijinga, Ukweli kilichomponza Daud Bashite ni udikiteta unyanyasaji wao dhidi ya wapinzani na watu mbalimbali wakiwemo akina Yusuph manji walioporwa mali zao viwanja vyao na mengineyo mengi mabaya zaidi.Mashoga wamemponza RC wetu
Jibidiishe kufahamu hata ujauzito wa mtoto anayemuita wakwake kwamba mimba hiyo imetungwa kwenye Maabara za nchi gani.Kwan alianza kwenda lini au unawashwa washwa
[emoji38][emoji38][emoji38]
Raia wa Twitter huko wanaongea kiswahili tu
Sijui personally Makonda anajiskia aje maana kwa zile comments the Hate is real...ajichunguze tu dhamiri yake Mimi ningekufa kwa hizo comments watu wanashukuru kwa mabaya yanayokupata ujue na kifo wanamuombea
Kila mtu asimame na miguu yakeHuu ndio wakati muafaka kwa Watanzania kusimama na rais, maana anatafutwa kwa namna zote, wanataka wamdhoofishe ili waendelee kubeba madini maana yeye ndiye mzalendo wa kwanza kupambana dhidi yao, alifanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yeyote Afrika, leo hii Waafrika wote wanamtegemea kuona kama atashinda kwenye haya mapambano, ili na wao waliamshe.
Kwani lazima aende USaWakuuu cheki official tweeter handle ya USA secretary of state Pompeo
Makonda hatokanyaga Marekani tenqView attachment 1342604
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli Mungu atusaidiemkuu nakubaliana na wewe kwa sababu sikumbuki hii kuwahi kutokea Tanzania. Bila shaka kuna mengi walioyagundua!
Hebu mshangaeToa ujinha wako hapa waliosaini mikataba ya kimyonyaji si watamzania ma waafrika kwa maslahi ya wao binafsi na watu wao wa karibu?? Sio mawaziri na marais wa nchi hizo??
Mashoga ndo sababu kubwa, jamaa kawapiga vita waziwazi, Manji ni Nani kulishawishi taifa kama lile???Hakuna cha ushoga wala nini, acheni hicho kisingizio cha kijinga, Ukweli kilichomponza Daud Bashite ni udikiteta unyanyasaji wao dhidi ya wapinzani na watu mbalimbali wakiwemo akina Yusuph manji walioporwa mali zao viwanja vyao na mengineyo mengi mabaya zaidi.
Uzuri hii ni 2020
Election Year
mtihani how many people can vote for...
And does voting even matter?.
Tusubiri tuone
Huwezi ukaniambia niende google wakati nina uhakika na point nilizo ziandika na ninaamini ninacho kiamini,Consult your Google by writing "who is USA" halafu rudia kusoma comment yako ulioandika.
Labda nikuulize Kuna mikutano inayofanyika bila kufuata Taratibu husika??
Hebu tuliza akili na utafakari kwa kina ndugu
Halafu ni serikali sio serikari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa unatumia akili sana kumpongeza Pompeo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Mtoto wake hayupo sawa. Itakuwa walitaka kumpeleka US.Sasa itabidi waende Germany.Hiv yule mtoto wake wa istagram hayuko sawa nae?
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme