Marekani ndio nani kwanza na kwa utakatifu gani alio nao kwa kuziamulia nchi mbali mbali Duniani zenye misingi yao personal? Eti tuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Kwa utakatifu gani walio nao?
Serikari inazuia mikusanyiko ya vyama vya siasa wakati usio kuwa wa campaign ili kuzuia uvunjifu wa amani nchini, leo hii Marekani anakurupuka anataka mikusanyiko iwepo hata kama haijaruhusiwa na sio kipindi cha campaign na amani ikivunjika nchini mambo yakiharibika nchini hawa jamaa hamto wasikia kokote wakituimbia suala la amani zaidi ya kutucheka,
Na mpango wao wa NWO wanataka wawe na say juu ya taifa lolote ili wapate nguvu ya kuitawala Dunia kirahisi,
Huyu mmarekani muovu kabisa huyu, hawezi akaja kukuimbia wimbo wa haki za binanamu kakujulia wapi na kwa utakatifu gani alio nao, asilimia 100% ya maamuzi ya hawa jamaa juu ya taifa lolote Duniani ni kwa lengo la kubomoa sio kujenga, hata kama mtaona faida mwanzoni baada ya kuyatekeleza maagizo yao mwishoni ni hasara,
Namuombea maisha marefu na afya Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli ni mwamba, hata kama wakituzuia kwenda huko kwao Marekani kwani Marekani ni Mbinguni? Wapuuzi tu hawa,