Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kiukweli upepo umebadilika ghafla baada ya taarifa ya RC Makonda kupewa marufuku ya kuingia nchi ya mabwanyenye, Marekani.

Kabla ya taarifa hizi habari ya mjini ilikuwa ni Zitto na Kangi Lugola na kwa week end hii nina hakika wameshasahaulika.

Maendeleo hayana vyama!
Amekusahaulisha wewe. Ya Makonda ni matokeo ya kazi nzuri ya Zitto na Lissu. TULIWAONYA SANA.
 
Tanzania tulikua na bahati kubwa kuongozwa kwa miaka 20 mfurulizo na maraisa wawili (BWM na JK) ambao ni wanadiplomasia. Nyota yetu ling'aa sana duniani na tuliheshimika mno. Sasa ndani ya miaka mitano ya uongozi wa kimabavu heshima hiyo imepotea na kwa mara ya kwanza kiongozi wa tanzania anapigwa travel ban hadharani.

Tena mbaya zaidi wiki ijayo kenya itakua kwenye headlines kama nchi ya kwanza africa kuanza mazungumzo ya mkataba wa kiuchumi (trade agreement) na marekani huku tanzania ikiwa kwenye headlines kama nchi ambayo imekiuka haki za binadamu mpaka viongozi wanaanza kuzuiliwa kuingia US. Kuna wakati usingefikiri Tanzania ingefika hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri hii ni 2020
Election Year

mtihani how many people can vote for...
And does voting even matter?.
Tusubiri tuone
 
Naona mambo ya zimbabwe yakiinyemelea tanzania.

Hapo CIA washafanya uchunguzi matukio ya kutekana halafu wakapata jibu wahusika wakuu wakina nani.
mkuu nakubaliana na wewe kwa sababu sikumbuki hii kuwahi kutokea Tanzania. Bila shaka kuna mengi walioyagundua!
 
Hivi hii dhana ya kwamba mikutano ya kisiasa ni uvunjifu wa amani mmetoa wapi nyie? Mbona kwa awamu zote 4 za nyuma mikutano ilifanyika na amani ilikuwepo? Acheni visingizio semeni hamtaki kukosolewa
Marekani ndio nani kwanza na kwa utakatifu gani alio nao kwa kuziamulia nchi mbali mbali Duniani zenye misingi yao personal? Eti tuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Kwa utakatifu gani walio nao?
Serikari inazuia mikusanyiko ya vyama vya siasa wakati usio kuwa wa campaign ili kuzuia uvunjifu wa amani nchini, leo hii Marekani anakurupuka anataka mikusanyiko iwepo hata kama haijaruhusiwa na sio kipindi cha campaign na amani ikivunjika nchini mambo yakiharibika nchini hawa jamaa hamto wasikia kokote wakituimbia suala la amani zaidi ya kutucheka,
Na mpango wao wa NWO wanataka wawe na say juu ya taifa lolote ili wapate nguvu ya kuitawala Dunia kirahisi,
Huyu mmarekani muovu kabisa huyu, hawezi akaja kukuimbia wimbo wa haki za binanamu kakujulia wapi na kwa utakatifu gani alio nao, asilimia 100% ya maamuzi ya hawa jamaa juu ya taifa lolote Duniani ni kwa lengo la kubomoa sio kujenga, hata kama mtaona faida mwanzoni baada ya kuyatekeleza maagizo yao mwishoni ni hasara,
Namuombea maisha marefu na afya Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli ni mwamba, hata kama wakituzuia kwenda huko kwao Marekani kwani Marekani ni Mbinguni? Wapuuzi tu hawa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitulia na utafakari utanielewa, huu ndio wakati wa Waafrika kuwa kimoja, raslimali zetu zimeliwa tangu enzi za mababu, sisi wajukuu tuungane nyuma ya Magufuli na kuhakikisha tumekata mirija yote. Wajukuu wa mabeberu wanatupiga mabao kwa sababu za migawanyiko yetu ya kijinga.
Toa ujinha wako hapa waliosaini mikataba ya kimyonyaji si watamzania ma waafrika kwa maslahi ya wao binafsi na watu wao wa karibu?? Sio mawaziri na marais wa nchi hizo??
 
Mashoga wamemponza RC wetu
Hakuna cha ushoga wala nini, acheni hicho kisingizio cha kijinga, Ukweli kilichomponza Daud Bashite ni udikiteta unyanyasaji wao dhidi ya wapinzani na watu mbalimbali wakiwemo akina Yusuph manji walioporwa mali zao viwanja vyao na mengineyo mengi mabaya zaidi.
 
Hii inamuuma sana. Alikua anaendaga sana US kula bata. Hata mwezi uliopita alitaka akale christmas na mwaka mpya huko wakamkatalia visa.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Raia wa Twitter huko wanaongea kiswahili tu
Sijui personally Makonda anajiskia aje maana kwa zile comments the Hate is real...ajichunguze tu dhamiri yake Mimi ningekufa kwa hizo comments watu wanashukuru kwa mabaya yanayokupata ujue na kifo wanamuombea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio wakati muafaka kwa Watanzania kusimama na rais, maana anatafutwa kwa namna zote, wanataka wamdhoofishe ili waendelee kubeba madini maana yeye ndiye mzalendo wa kwanza kupambana dhidi yao, alifanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yeyote Afrika, leo hii Waafrika wote wanamtegemea kuona kama atashinda kwenye haya mapambano, ili na wao waliamshe.
Kila mtu asimame na miguu yake
Halafu ukisimama wewe inatosha
 
mkuu nakubaliana na wewe kwa sababu sikumbuki hii kuwahi kutokea Tanzania. Bila shaka kuna mengi walioyagundua!
Kwa kweli Mungu atusaidie

penye kurekebisha wahusika warekebishe
Walipo sahihi basi waendelee

ila nadhanj diplomasia ni nzuri kuliko mabavu hasa mbele ya watu wanaokuzidi uwezo dhahiri

Kama taifa nadhani bado safari ni ndefu
Tumtizame Zimbambwe.,
 
Toa ujinha wako hapa waliosaini mikataba ya kimyonyaji si watamzania ma waafrika kwa maslahi ya wao binafsi na watu wao wa karibu?? Sio mawaziri na marais wa nchi hizo??
Hebu mshangae
Kwani hao wazungu walitushikia mitutu ya bunduki Wakati viongozi wetu wanasign
Sisi waafrika tunasnitchiana tangu enzi za utumwa
 
Hakuna cha ushoga wala nini, acheni hicho kisingizio cha kijinga, Ukweli kilichomponza Daud Bashite ni udikiteta unyanyasaji wao dhidi ya wapinzani na watu mbalimbali wakiwemo akina Yusuph manji walioporwa mali zao viwanja vyao na mengineyo mengi mabaya zaidi.
Mashoga ndo sababu kubwa, jamaa kawapiga vita waziwazi, Manji ni Nani kulishawishi taifa kama lile???
 
Consult your Google by writing "who is USA" halafu rudia kusoma comment yako ulioandika.
Labda nikuulize Kuna mikutano inayofanyika bila kufuata Taratibu husika??
Hebu tuliza akili na utafakari kwa kina ndugu

Halafu ni serikali sio serikari
Huwezi ukaniambia niende google wakati nina uhakika na point nilizo ziandika na ninaamini ninacho kiamini,
Wewe ndio ungetuambia Who's USA na kama mikutano inayo fanyika ina vibali kwanini imekuwa ikizuiwa?
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa unatumia akili sana kumpongeza Pompeo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme

Tulipokuwa tunawaambia kuwa Kolomije boy anahusika na madhila ya akina Tundu Lissu, Azory Gwanda, Ben Saa 8, et al wengi mlikuwa kama mpo usingizini!!
 
Back
Top Bottom