Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Hongereni Marekani kwa kupaisha jina LA kijana wa KOLOMIJE mmemupandisha chati saana lakn pia mmemsaidia Rais maana hata yy alishawakataza kutosafiri mmemusaidia

Kuna sifa mbili, sifa njema/nzuri na sifa mbaya.
Kutangaziwa Dunia kuwa Makonda kapiga stop kuingia Marekani kwangu mimi naona ni kutangazwa kwa sifa mbaya, hivyo hata akijulikana, basi anajulikana kwa ubaya.
Pia nchi yetu imejulikana kwa ubaya, na adhari zake ni kubwa kuliko watu wanavyo fikiri. Nchi zote wanachama wa marekani wataungana na marekani kufuatilia na kumpiga stop huyo makonda kuingia nchini mwao
 
mkuu wewe hamu yako Tanzania ikione cha mtema kuni. Kwa uhakika hiyo ndio dhamira yako otherwise usingelimpush Magufuli aoneshe umwamba wake kwa US wakati unajua vizuri chochote kitakachotoka mdomoni kwa huyu mzee kitakua ni petroli ktk cheche ya moto. Sitegemei kuwa litakuwa unalolitaka liwe kwa sababu na Magufuli pia anajua ilipofikia US hawatanii.
 
Nani kakwambia Watanzania ni Watu wa Vurugu na pulukushani.
Labla hzo vurugu uzifanye ww msaliti na Zitto wako .
Unafikiri zito yeye anataka kuchumia Tumbo not anymore else,
Sizani kama ninaweza mweka Mbowe at 100 best leader in Tz list but katika list ya viongozi wasaliti hata chadema wanamjua.

A part of Mabeberu waliisaidia South toka lini instead wenyewe ndo wali colonize SouthA. , you talk you don't understand

Toa mfano impact ya Mabeberu.
Mnasema Misri , hamjui dam ilimwagika
Mnataka kumwaga dam za wenzenu walioko tz ,
Wakati mnakula raha ulaya.


Kitu ambacho sikipendi upinzani ni kimoja
"Ndoto yao ni Watanzania tuuane tupigane ili waichukue Nchi"
Wakati wanatuchochea unaweza wenyewe wako nje wanakula maisha.

Watanzania tuache uwehu tutauana bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali hapako vizuri kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pompeo kuziwiwa kupigwa nyelo ndo tatizo
Makonda alikemea ndoa za nyelo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliwaambia Makonda ni mtekaji na mtesaji mkatia pamba masikuoni. Wabunge wa upinzani wameongea bungeni mnawatuma mavuvula kina Mlinga na Msukuma kukejeli. Jana Spika asiye na aibu anasema mambo yetu tujadili wenyewe utafikiri kuna siku aliwahi kuwasikiliza wapinzani zaidi ya kuwakejeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mbona mengi.
Wa2 wasiojulikana, kuzuia mikutano ya siasa, kukamatwa idris sultan, kujifanya wewe ndo sheria nk.

Pompeo CIA yule. Wanaweza kukupa profile ya unachofanya kila siku, simu zako, internet nk. Ukiambiwa wana "credible evidence" uelewe mambo makubwa!!!
Samahan lakini nimeingia kimatumbi!!!
 
Weka hapa tamko la Marekani likitoa sababu uzisemazo, usilete mambo ya bunge la CCM kufanya kazi tuhuma za mtandaoni badala ya kuwasilisha kauli ya WB ikisema imeamua kutokana na ombi la Zitto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…