Haahahhhahah na akikanyaga tu hapa ofisin tutamtimua kama mwiziKiutaratibu ofisi za ubalozi ni nchi. Kwa hiyo Makonda marufuku kuingia ofisi za ubalozi wa usa nchini? Kama ni kweli. Hii ni dharau kubwa. Mkuu wa mkoa asiyekuwa huru aliye wekewa mipaka.
Haikubaliki kabisa.
Lumumba sasa hivi hawana pakushika wamebaki na single moja tu ushoga.Wairan wanatuhusu nini sisi, sisi wanatuuma Watanzania wenzetu wanaonyimwa haki ya kuishi na Makonda na genge lake. Tunawalilia Watanzania wenzetu Azory Gwanda na Beny Saanane waliopotezwa kwa sababu tu ya uwajibikaji wao. Tuanze kujadili Iran na Iraq tuache kujadili kuuawa kwa Mawazo na kutekwa na kuteswa kwa Mdude? Kwani tumeanza Jana kusema mnaua Watanzania wenzetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajeshi nao waliridhia uniform yao kuchafuka?Jana nilikuwa nae flight moja kutoka mwanza to Dar eti Kavaa kijeshi.
Wale wenye mapenzi mema tuweke mgomo wa kwenda USA kama sehemu ya kusimama na kiongozi wetu.
basi na sisi tuwazuie wamarekani kuingia tz...tuone nani ataumia.....maskini hana jeuriMbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
IMMA advocate pale Upanga ililupuliwa mabomu usiku maeneo ambayo ni kilomita 1 au mbili kutoka makao makuu ya JWTZ na watu wakauchuna kama hakuna kilichotokea na makonda ndiye Mkuu wa Mkoa huo.Nikikumbuka alivyovamia Clouds na mitutu ya bonduki, ni ukweli kwamba jamaa amewanyima wengi haki ya kuishi! Muda si mrefu maombi ya wanyonge yatajibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Roma alipeleka Flash disc iliyosheheni ushahidi kule USAViva Roma.
Hawa wanafanya hivyo angalau watoto wao waende chooni. Hawa sioni shida kwao kabisa.
Too late, walishupaza shingo.Ni vizuri kuhoji. Shutuma na tuhuma zilikuwa nyingi sana dhidi yake mpaka watu wakachoka na kuamua kukaa kimya tu. Muda umefika sasa, hatua stahiki zichukuliwe kabla hatujachelewa zaidi.
Kiutaratibu ofisi za ubalozi ni nchi. Kwa hiyo Makonda marufuku kuingia ofisi za ubalozi wa usa nchini? Kama ni kweli. Hii ni dharau kubwa. Mkuu wa mkoa asiyekuwa huru aliye wekewa mipaka.
Haikubaliki kabisa.
Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?
Lipi bashite auanamakazi mengi sana mwanza, pansiansi yote ile wanamtambua kwa jina la utotoni
Unataka ufanye nn nyuma yake
Azory,Saa8 na Lissu ila Mungu alimnusuru.Si kuua huku! Wamejuaji? Haki ya nani ya kuishi imekatizwa.
Kitendo cha mteule wa Rais kutuhumiwa kwa mauaji na uvunjaji wa haki za binadamu ni sawa na kumtuhumu Rais ila kwa kupitia wateule wake.
Bunge badala ya kujadili mipasho pamoja na kusifu wapumbavu lijikite kuitaka serikali na huyo aliyemteua ameondoe haraka.
Nchi ni muhimu kuliko binadamu yeyote yule. Huyu Makonda hapaswi kulindwa kwa namna yoyote ile.