Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

macho_mdiliko,
Kwa taarifa yako sisi wananchi wa tanzania hatujawahi kukerwa na tabia za mtu binafsi za ushoga. Ushoga umekuwepo na utaendelea kuwepo. Watanzania tulipigwa na hofu kubwa nchi nzima baada ya matukio ta kutisha kushamili killings, torturing, abductions, disapperances zilizidi na serikali badala ya kuchukua hatua wakiwemo akina makonda badala yake wakawa anakejeli hebu fikiria mtu anauawawa anakejeliwa?

Vyombo vinavyoitwa vya usalama vipo na vikakaa kimya kama vile hakuna linalotokea. Sasa lwo naona mmekazania ushiga sijui ndio biashara yenu
 
Kiutaratibu ofisi za ubalozi ni nchi. Kwa hiyo Makonda marufuku kuingia ofisi za ubalozi wa usa nchini? Kama ni kweli. Hii ni dharau kubwa. Mkuu wa mkoa asiyekuwa huru aliye wekewa mipaka.

Haikubaliki kabisa.
Haahahhhahah na akikanyaga tu hapa ofisin tutamtimua kama mwizi
 
Wairan wanatuhusu nini sisi, sisi wanatuuma Watanzania wenzetu wanaonyimwa haki ya kuishi na Makonda na genge lake. Tunawalilia Watanzania wenzetu Azory Gwanda na Beny Saanane waliopotezwa kwa sababu tu ya uwajibikaji wao. Tuanze kujadili Iran na Iraq tuache kujadili kuuawa kwa Mawazo na kutekwa na kuteswa kwa Mdude? Kwani tumeanza Jana kusema mnaua Watanzania wenzetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lumumba sasa hivi hawana pakushika wamebaki na single moja tu ushoga.
 
Nikikumbuka alivyovamia Clouds na mitutu ya bonduki, ni ukweli kwamba jamaa amewanyima wengi haki ya kuishi! Muda si mrefu maombi ya wanyonge yatajibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
IMMA advocate pale Upanga ililupuliwa mabomu usiku maeneo ambayo ni kilomita 1 au mbili kutoka makao makuu ya JWTZ na watu wakauchuna kama hakuna kilichotokea na makonda ndiye Mkuu wa Mkoa huo.
 
Anaweza kwenda pale atakapotengeneza movie feki kuwa ndani ya ubalozi kuna madawa ya kulevya hivyo anakwenda kufanya upekuzi. Kama alivyofanya kwa clouds media. Huyo bogus Bashite anazijua mwenyewe.'in
 
Ili ajibu tuhuma zinazomkabili
Ili aweze kusafisha jina lake lililotwexwa.

Ili serikali ijitoe kwenye tuhuma za haki za binadamu.

Ili watanzani tujiridhishe Tanzania kuna haki.

Sio hivyo who is next.
 
Ni vizuri kuhoji. Shutuma na tuhuma zilikuwa nyingi sana dhidi yake mpaka watu wakachoka na kuamua kukaa kimya tu. Muda umefika sasa, hatua stahiki zichukuliwe kabla hatujachelewa zaidi.
Too late, walishupaza shingo.
 
Kiutaratibu ofisi za ubalozi ni nchi. Kwa hiyo Makonda marufuku kuingia ofisi za ubalozi wa usa nchini? Kama ni kweli. Hii ni dharau kubwa. Mkuu wa mkoa asiyekuwa huru aliye wekewa mipaka.

Haikubaliki kabisa.

Siyo Bashite tu, hadi mkewe
 
Lumumba has nothing to loose,but tanzanians has something to loose except the stupid one has also nothing to loose from such a ban including you.
Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakiona magufuli hamchukulii makonda hatua marekani watambrand magufuli kama mhalifu mkuu.
Watamfata Noriega style.
Wamarekani wakiamua ndani ya dakika tano tutakuwa hatuna ndege za kivita wala meli.
 
Taifa limepewa wapumbavu kuliongoza.
Over
Kitendo cha mteule wa Rais kutuhumiwa kwa mauaji na uvunjaji wa haki za binadamu ni sawa na kumtuhumu Rais ila kwa kupitia wateule wake.

Bunge badala ya kujadili mipasho pamoja na kusifu wapumbavu lijikite kuitaka serikali na huyo aliyemteua ameondoe haraka.

Nchi ni muhimu kuliko binadamu yeyote yule. Huyu Makonda hapaswi kulindwa kwa namna yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom