Paul Makonda kuitetemesha na kuitikisa mikoa kumi mfululizo bila kupumzika

Kwa sasa wananchi wana kiu ya kumpokea na kumsikiliza Mheshimiwa Makonda
Wananchi labda wajinga wajinga machawa na wenye njaa Kali sana kama wewe .
Mimi pia ni mwananchi ila siwezi kabisa kuwaza kumsikiliza huyo kilaza bashite
 
Huyo ni takataka, dhulumati wa jengo la GSM, magari ya watu, na marekani wamem blacklist kwa kudhulumu haki ya kuishi
Pumbavu, peleka mahamani wewe

GSM na waliodhulumiwa wote ni wajinga kwani? Hawajui mahali haki zao zinapatikana?
 
Wananchi labda wajinga wajinga machawa na wenye njaa Kali sana kama wewe .
Mimi pia ni mwananchi ila siwezi kabisa kuwaza kumsikiliza huyo kilaza bashite
Mheshimiwa Makonda anasikilizwa na wenye akili Timamu na wanaojitambua na siyo watu aina yako waliojikatia Tamaa na kupoteza matumaini ya kila kitu.
 
Chama cha Mapinduzi ni chama kikubwa kilichokamilika kila idara na chenye kila kitu.hakiwezi kukwama kwa chochote kwa sababu ya chochote ka vilivyo vyama kama CHADEMA ambavyo kupata mafuta tu ya helikopta inakuwa ni mgogoro wa kukata na shoka.
Ni kweli, mfano halisi wa ni hii kutokukwama kwenye mgao wa umeme, na Sasa mfumuko wa bei hapa nchini.
 
Uliyejikatia tamaa ya maisha ni wewe ambaye umeamua kuwa chawa sio bure utakuwa una laana ya wazazi wako.
Thread nzima imejaa comment za kukupinga huna hata chembe ya aibu wewe mlaaniwa muosha mbwa
Wewe huna akili na pia umelaaniwa
Mheshimiwa Makonda anasikilizwa na wenye akili Timamu na wanaojitambua na siyo watu aina yako waliojikatia Tamaa na kupoteza matumaini ya kila kitu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Fahamu ya kuwa Ndugu Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa,yule mwamba wa siasa za majukwaani na ambaye anachukuliwa kama sauti ya wanyonge na ambaye alitangaziwa Mwisho na maadui zake lakini Mungu akatangaza Mwanzo,ambaye kwake zege halilali,na ambaye anatajwa kama kijana jasiri sana katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kusini mwa Afrika.

Ambaye akizungumza na kuanza ziara basi nchi yote husimama,vyombo vyote vya habari hushindana kupamba picha zake kurasa za mbele na mitandao yote hutekwa na habari zake na ambaye amekuwa kiboko ya CHADEMA anakwenda kuitikisa na Kuitetemesha mikoa kumi mfululizo kwa ziara ambayo inasubiriwa kwa hamu sana na mamilioni ya watanzania ambao walikuwa wanamsubiri kwa hamu kuwafikia huko waliko ili wamueleze kero zao kusudi azipeleke serikalini.

Sasa kama ulikuwa na shughuli yako au biashara yako unataka kuitangaza kupitia vyombo vya habari au mitandao ya kijamii,basi nakushauri usipoteze muda ,ni bora usubili huyu mwamba amalize ziara yake ,maana kwa sasa anakwenda kuiteka nchi yote kimijadala na watu wote wanakwenda kutega masikio yao kusikiliza nini anazungumza na nini kinajiri katika ziara zake.

Kama wewe ni msanii na ulipanga kutoa wimbo wako basi ni bora uuweke kwanza pembeni mpaka Mheshimiwa amalize ziara zake,maana akishaingia mitaani huyu basi wimbo utakuwa ni mmoja tu ambao ni Makonda na utekelezaji wa ilani ya CCM tu.

Endeleeni kutulia Watanzania wenzangu maana najuwa mlimkumbuka sana na mlikuwa na hamu ya kumsikiliza mwamba akiunguruma kama Simba majukwaani.sasa amewasikia na anakuja kwa kishindo.

Watendaji wa serikali na wateule wa Mheshimiwa Rais andaeni majibu ya kila kitu juu ya kazi mnazofanya na kusimamia katika utekelezaji wa ilani ya CCM Katika maeneo yenu.Maana huyu mwamba huwezi kujuwa atakupiga wapi.kumbuka huyu ni msemaji wa chama na mjumbe katika vikao vyote muhimu vya CCM. sasa wewe lete nyodo zako huko uone kitakachokupata atakaporejea kupeleka mrejesho kwa chama juu ya aliyoyabaini mikoani huko na akina nani wanakichonganisha chama na wananchi au wanatesa wananchi au hawatoi huduma stahiki kwa wananchi au wanapuuza wananchi au hawawasikilizi wananchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Bado anaamini kuwa Gwajima ni muuza unga?
Maana alimtaja katika vyombo vya habari na hadi leo hajakanusha tuhuma zake kwa Gwajiboy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka ushahidi acha kuchafua watu hapa wewe. Marekani siyo Mungu.hao hao Marekani ndio walimuua Saddam Husseni kwa kisingizio kiwa anamiliki silaha za nyukilia.je uliziona au kuonyeshwa silaha hizo? Marekani waliuonyesha ulimwengu shehena ya silaha hizo? Vipi kuhusu muamari Gadaffi si hao hao walimuua kwa visingizio vya uongo baada ya kuona maono yake yanahatarisha maslahi yao na uwepo wao katika bara la Afrika? Hujawahi kusikia hata Barack Obama akikili Hadharani kuwa walifanya makosa kumuua Gadaffi? Sasa unaanzia wapi kuwaona kama miungu watu na kuwaamini kwa kila kitu? Za kuambiwa changanya na za kwako ndugu yangu.usiwe na akili kama kasuku au nyumbu.
Hapa umeongea point Sana big up
 
Kazi yangu ni mkulima kazi ya heshima kabisa tangia kuumbwa kwa ulimwengu.
Wewe tahahira kilaza kazi yako ni uchawa tena ule wa kijinga tafadhali machawa akina mwijaku na baba levo wanatefanya uchawa ili kupata fedha
Ila wewe ni chawa kondom
 
Hela za kujenga Masaki nyumba ya ghorofa kadhaa aliitolea wapi? Mshahara wa mkuu wa mkoa hauzidi au hafiko milioni 7, Alimdanganya GSM kwamba JPM anahitaji nyumba na GSM akaijenga akajua ni ya JPM.

Amefungua phamarcy kila mkoa nchi nzima.
Ana akili ndiyo maana
 
Ndugu zangu Watanzania,

Fahamu ya kuwa Ndugu Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa,yule mwamba wa siasa za majukwaani na ambaye anachukuliwa kama sauti ya wanyonge na ambaye alitangaziwa Mwisho na maadui zake lakini Mungu akatangaza Mwanzo,ambaye kwake zege halilali,na ambaye anatajwa kama kijana jasiri sana katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kusini mwa Afrika.

Ambaye akizungumza na kuanza ziara basi nchi yote husimama,vyombo vyote vya habari hushindana kupamba picha zake kurasa za mbele na mitandao yote hutekwa na habari zake na ambaye amekuwa kiboko ya CHADEMA anakwenda kuitikisa na Kuitetemesha mikoa kumi mfululizo kwa ziara ambayo inasubiriwa kwa hamu sana na mamilioni ya watanzania ambao walikuwa wanamsubiri kwa hamu kuwafikia huko waliko ili wamueleze kero zao kusudi azipeleke serikalini.

Sasa kama ulikuwa na shughuli yako au biashara yako unataka kuitangaza kupitia vyombo vya habari au mitandao ya kijamii,basi nakushauri usipoteze muda ,ni bora usubili huyu mwamba amalize ziara yake ,maana kwa sasa anakwenda kuiteka nchi yote kimijadala na watu wote wanakwenda kutega masikio yao kusikiliza nini anazungumza na nini kinajiri katika ziara zake.

Kama wewe ni msanii na ulipanga kutoa wimbo wako basi ni bora uuweke kwanza pembeni mpaka Mheshimiwa amalize ziara zake,maana akishaingia mitaani huyu basi wimbo utakuwa ni mmoja tu ambao ni Makonda na utekelezaji wa ilani ya CCM tu.

Endeleeni kutulia Watanzania wenzangu maana najuwa mlimkumbuka sana na mlikuwa na hamu ya kumsikiliza mwamba akiunguruma kama Simba majukwaani.sasa amewasikia na anakuja kwa kishindo.

Watendaji wa serikali na wateule wa Mheshimiwa Rais andaeni majibu ya kila kitu juu ya kazi mnazofanya na kusimamia katika utekelezaji wa ilani ya CCM Katika maeneo yenu.Maana huyu mwamba huwezi kujuwa atakupiga wapi.kumbuka huyu ni msemaji wa chama na mjumbe katika vikao vyote muhimu vya CCM. sasa wewe lete nyodo zako huko uone kitakachokupata atakaporejea kupeleka mrejesho kwa chama juu ya aliyoyabaini mikoani huko na akina nani wanakichonganisha chama na wananchi au wanatesa wananchi au hawatoi huduma stahiki kwa wananchi au wanapuuza wananchi au hawawasikilizi wananchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Eti bila kupumzika. Akilala hapumziki? We jamaa sijui ni kiumbe wa namna gani!
 
Wewe unadhani ana akili huyo! Usibishane na zero brain yeye anajua maisha ni mshahara! Nchi hii kuna vijana wapumbavu wengi sana!
Acha kutukana watu pimbi wew unataka kutuambia wew unajua nini
 
Uliyejikatia tamaa ya maisha ni wewe ambaye umeamua kuwa chawa sio bure utakuwa una laana ya wazazi wako.
Thread nzima imejaa comment za kukupinga huna hata chembe ya aibu wewe mlaaniwa muosha mbwa
Wewe huna akili na pia umelaaniwa
Wewe ndiye umelaaniwa ndio maana kinywa chako kinanuka matusi utafikiri umeopolewa kwenye shimo la choo
 
..Bashite atatetemesha makalio yake ktk mikoa kumi.

..tujiulize kule ambako ameshapita maisha ya wananchi yamebadilika kwa kiwango gani.
 
Back
Top Bottom