GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
Nd
Ndani ya ccm simwoni mwingine anaweza kurudisha uzalendo
Kwahiyo Bashite ndiyo mzalendo ndani ya CCM ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nd
Ndani ya ccm simwoni mwingine anaweza kurudisha uzalendo
Hivi 2030 mimi sioni mtu mbunifu na Mchapakazi kama Makonda!Nd
Ndani ya ccm simwoni mwingine anaweza kurudisha uzalendo
Makonda kwenye level ya umasikini umutoe sio mwenzako huyo!Hakuna masikini mzalendo
Ana ubunifu mwingi wa kijingaUbunifu wa Mwijaku ndiyo ule wa kuwakunja kina Menina ? Hebu wacheni masikhara nyie watu 🤣🤣
Makonda kwenye level ya umasikini umutoe sio mwenzako huyo!
Ni mfanya biashara Mkubwa tu kwa level za kibongo kwa hiyo hana njaa
Wewe unamuona nani Mzalendo tajiri hapa Tanzania?Kama unahisi Bashite ni tajiri basi mimi na wewe hatuwezi hata kufanya mjadala. We simply live in two different worlds.
Ana ubunifu mwingi wa kijinga
Sina uccm wala uchadema. Ila kwa akili zangu hizi ndogo mwijaku simkubali hata kama harakati zake zinamuingizia kipato mimi sipendi kumsikia najisikia kukereka.Sio wa kijinga mkuu, weka pembeni uccm au uchadema
AiseeAnaingia hadi Ikulu yani. Just think about it 🤔
Mkuu tunaangalia kiongozi bora mbunifu ,kwa inchi ilipofikia, huyu anatufaa sana
Pole sana, shida Tanzania kama mtu anawajibika vizuri, huwa hatumkubali kabisaSina uccm wala uchadema. Ila kwa akili zangu hizi ndogo mwijaku simkubali hata kama harakati zake zinamuingizia kipato mimi sipendi kumsikia najisikia kukereka.
Wewe unaendeshwa na chuki huna unalowaza! Mara hakuna mzalendo masikini mimi nakuuliza Makonda kwa level ya kitanzania bado unamuita maskini!Ubunifu gani ambao amaufanya Bashite nyie ?
The gentleman is modern and visionary political leader of new era 🐒Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.
Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.
Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.
1.Ni kiongozi mbunifu
2.Ni kiongozi mwenye msimamo
3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu
4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Wewe unamuona nani Mzalendo tajiri hapa Tanzania?
Mbowe ama?
Uzalendo ni uzalendo tu.
Naomba unitajie tajiri mzalendo Tanzania!