Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Sina uccm wala uchadema. Ila kwa akili zangu hizi ndogo mwijaku simkubali hata kama harakati zake zinamuingizia kipato mimi sipendi kumsikia najisikia kukereka.
Pole sana, shida Tanzania kama mtu anawajibika vizuri, huwa hatumkubali kabisa
 
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.

Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.

Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.

Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.

1.Ni kiongozi mbunifu

2.Ni kiongozi mwenye msimamo

3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu

4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
The gentleman is modern and visionary political leader of new era 🐒
 
Wewe unamuona nani Mzalendo tajiri hapa Tanzania?
Mbowe ama?
Uzalendo ni uzalendo tu.
Naomba unitajie tajiri mzalendo Tanzania!
I cannot stoop this low to abuse and violate peoples' privacy for political expediency. Huu ni utamaduni wako wewe, binafsi siwezi kuvunja faragha ya watu mitandaoni kukuridhisha wewe.​
 
Back
Top Bottom