Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Acha kutetea ujinga au na wewe ni mnufaika wa hiyo ruzuku?
 
Asante mama nenda huko kuna kipengele ndani ya katiba ya ccm kinauliza umekufanyia nini chama?
 
"...Nilikataa kuwaabudia katika namna ya kuutweza utu wangu."
Duh Mwenyekiti bhana!
Mama amekataa kutwezwa utu wake!! Mwenyekiti anataka kumtweza kila mbunge mwanamke. Gekul umekataa shatani na mambo yake, hongera sana. Ningekuwa nakufahamu ningekuja nikununulie japo soda!
Kumekuwa na tetesi za wakina mama kutwezwa huko CHADEMA, leo Gekul kathibitisha kwamba kuna utwezwaji.
 
Hivi wamebaki wabunge wangapi sasa? Kamati kuu ya Chama kuendelea kukaa kimya (as if nothing is happening....) bila kukutana kujadiri hii situation na kuassume blindly wanaohama wananunuliwa ni uzuzu.
kamuulize JIWE atakwambia amebakisha wangapi
 
Uvumilivu una mwisho. Sina uhakika kama kweli Mbowe na wenzake (CHADEMA) wana vision! Na nadhani ndio maana hadi sasa hawana ofisi yenye hadhi ya kitaifa!
 
Uvumilivu una mwisho. Sina uhakika kama kweli Mbowe na wenzake (CHADEMA) wana vision! Na nadhani ndio maana hadi sasa hawana ofisi yenye hadhi ya kitaifa!
Ccm inaofisi wapi nyumba zote zimejengwa na serikali nawenyewe wakadandia nenda kacheze na mtoto chupa
 
Dirisha linaita; litafungwa siku chache zijazo ....fastaaa!!

Hatutaki makada wa upinzani, usajili huu ni kwa wabunge na madiwani tu.

Wenyeviti; makatibu ; waweka hazina msijisumbue kuja hatuwahitaji kwa sasa!! Mtatangaziwa.
 
Kwenye chaguzi ndipo anapopiga pesa yaani jamaa ni mjasiria mali hakuna mfano. Ruzuku ya milioni 300 Kwa mwezi zote anatia mfukoni harafu anawachangisha wabunge kila mwezi eti pesa za kuimarisha chama.
Daudi albert bashite na baba yake mtu mfupi ndio ataamini propaganda hii ya kichina kinachochekesha jinsi munavyowanunuwa ndivyo jinsi munapodharaurika na wananchi tatizo la kuwa na mwenyekiti katibu na katibu mwenezi wasio na ushawishi ccm wamekataliwa ndani hata wageni wanawachuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…