maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
- Thread starter
-
- #301
We wa mjini mkuu ndio maana unaelewa mtu katoka huko magu lkn kwa ndani anaelewajeHawa ndiyo wanaitwa ma-papa ya mji. Nadhani wengi mnaelewa kuwa samaki papa hawezi kuliwa na mtu mmoja na akaisha. Anakatwa vipande vidogo vidogo halafu kila mwenye fedha ananunua na kujilia. Ajabu kuna mtu anataka amle papa wenyewe.
Kijana muuaji ni mzembe sana 😢,.Hawa ndiyo wanaitwa ma-papa ya mji. Nadhani wengi mnaelewa kuwa samaki papa hawezi kuliwa na mtu mmoja na akaisha. Anakatwa vipande vidogo vidogo halafu kila mwenye fedha ananunua na kujilia. Ajabu kuna mtu anataka amle papa wenyewe.
Nacheka tu kupunguza mawazoWe Cheka ukizingua ndo vle status itasoma rest in nini sijui
Miss u ...
UsisahauYaan watu wengine wanajitafutia matatizo tu sasa demu anauza glocery we nae unamwita demu wako wakati yule ni malaya...hv mteja kalipa bill lak 3 ataacha kumpongeza mteja wake?...yaan mbususu ipo sokoni we unataka iwe yako peke yako inawezekanaje?
Na kijana mmoja na kabinti kangu kamoja inatosha kabisa wengine walivurungwa na p2 mkuu.Kaka niletee wifi
Achana na mkono hauleti watoto
afya akili kivipi umempima ukajua anamatatizo ya akili?Mkuu wala mapenz hayana ukubwa kiasi hicho sema tu changamoto ya afya ya akili ni kubwa .
Yesu anataka ukae na mmojaDemu ninao wengi tu. Tena wananipendaga sana lakini siyo permanent relationship.
Kuna kamoja kalitakaga kunivunja fuvu na fryingpen maamaee mwamba Yesu akanikwepesha.
Ninao wengi tuu kuna mbibi flani akinionaga tu anaanza kulia.
Hapana, ni wewe tu hujui kusoma kwa ufahamu na fikra dhahania.Rudi mpaka kwenye ujumbe wako ulioniquote umeniambia mimi direct
Nisingekua na shida kama ungequote bila kunishutumu direct
Kumbe single faza😂🤸Na kijana mmoja na kabinti kangu kamoja inatosha kabisa wengine walivurungwa na p2 mkuu.
Na kweli hunijui ndio maana unadhani unajadili na mwanaume mwenzako hapaHapana, ni wewe tu hujui kusoma kwa ufahamu na fikra dhahania.
Hujui Socratic questions.
Nilipoandika "unapo..." simaanishi wewe, namaanisha mwanamme yeyote. Ukiwamo hata wewe.
Nimeandika kidhahania (abstract) wewe umeshindwa kusoma. Umechukukia personally.
Mimi siwezi kukuandikia wewe personally, sikujui.
Kwa nini ?Afya ya Akili mnaosingizia bure
hapo ni mtu na akili zake timamu kabisa
Na wana tabia yao ingine ila sitaisemaWadada wenye komwe inasemakana hawaaminiki
Siumwambie kuwa wewe ni mwanamke. Mbona unafanya ligi na wanaume mtandaoni?Rudi mpaka kwenye ujumbe wako ulioniquote umeniambia mimi direct
Nisingekua na shida kama ungequote bila kunishutumu direct
Sema mkuu utaokoa wengi .Na wana tabia yao ingine ila sitaisema
mpaka apimwe ndio mseme #AfyayaakiliKwa nini ?
Siumwambie kuwa wewe ni mwanamke. Mbona unafanya ligi na wanaume mtandaoni?
Unanipa changamoto ya kuja kuchumbia maana unaweza nletea ligi ndani ya nyumba.