maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
- Thread starter
- #301
We wa mjini mkuu ndio maana unaelewa mtu katoka huko magu lkn kwa ndani anaelewajeHawa ndiyo wanaitwa ma-papa ya mji. Nadhani wengi mnaelewa kuwa samaki papa hawezi kuliwa na mtu mmoja na akaisha. Anakatwa vipande vidogo vidogo halafu kila mwenye fedha ananunua na kujilia. Ajabu kuna mtu anataka amle papa wenyewe.