Ardhi imemeza warembo jama tuache masikhara.

Rest easy Penny
 
Hiyo writing style ya mchepuko wako ni kweli anastahili kukigawa kama pipi tabia ndiyo imemchagua hviyo
 
Kweli mapenzi upofu
 
Unamununulia iphone 15 pro max
Unamfungulia grocery
Unamununulia kagari IST
Mwisho wa siku unagongewa na wahuni wanaununua bia za buku Jeri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ndo maana tuliambiwa tuishi na wanawake kwa akili
Kwa wanawake wa Grocery wahuni huwa wanawapangia plan... siku ya kwanza wanakuja na jamaa zao sita, wanakunywa bia weee, ka grocery kanajaa, magari... anajiona yeye super star... then wanapotea... sasa watu wakipungua, anachanganyikiwa.. kwanini hakuna watu wameenda wapi.... hapo sasa ndio wanaanza kumgonga wao wote sita akiwa anawaita.. akitaka waje wajaze tena Grocery... ionekane imejaa na atakuwa ananunua yeye bia...same applies kwa mama ntilie...

Kifupi hizo biashara sio nzuri kufungulia wake au wapenzi.. hazifai..mifano hai iko mingi, refer Mariam Biriani
 
Unamununulia iphone 15 pro max
Unamfungulia grocery
Unamununulia kagari IST
Mwisho wa siku unagongewa na wahuni wanaununua bia za buku Jeri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ndo maana tuliambiwa tuishi na wanawake kwa akili
Duuuh yani mwanaume umnunulie vitu vyote hovyo Mwanamke ambaye siyo Mke wako, na hujazaa nae tuseme unamfungulia kwaajiri apate pesa za kumuhudumia mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…