maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
- Thread starter
- #321
Only God can Judge HerAisee kumbe ni huyu ila watu kukosa info tu huyu mbona alikuwa muuza papuchii,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Only God can Judge HerAisee kumbe ni huyu ila watu kukosa info tu huyu mbona alikuwa muuza papuchii,
Ardhi imemeza warembo jama tuache masikhara.Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
Michezo ya kibaba na kimama kidato cha pili tu ilishaniletea mtoto mkuu .Kumbe single faza😂🤸
Vijana wa zamani walikuwa na wake wengi na ukiwa na wanawake wengi unakuwa unajua lazima utagongewa kati ya mmoja wapo, kwahiyo unakua umejiandaa kisaikolojia.Mkuu, vijana wa zamani wakigongewa fresh tu? hawaumii?!
Hongera sana!Michezo ya kibaba na kimama kidato cha pili tu ilishaniletea mtoto mkuu .
There is always a variable factor to maintain an equation at equilibrium it never rest at equilibrium permanent.Watu wanayachukulia mapenzi serious sana wakati hayahitaji hivyo.
Mapenzi ni quadratic eqns, muda wowote variable x au y inabadilika. Ishi kwa akili kuliko hisia.
Hiyo writing style ya mchepuko wako ni kweli anastahili kukigawa kama pipi tabia ndiyo imemchagua hviyoWanawake wenyewe ndio hawa, halafu watu mnayachukulia seriuos sana mapenzi. Vijana wenzangu acheni ujinga, mapenzi kwanini yakuendeshe namna hiyo?
Kitu pekee cha kumzuia mwanamke asichepuke ni maamuzi yake mwenyewe tu.
Utaishia jela upoteze mwelekeo wote wa maisha. Bora kuanza upya tu. Hata kama alikula mamilioni yako, pesa inatafutwa bro.
Mkuu swala la tatizo la afya ya akili ni pana sana , huyo jamaa alikumbwa na hiyo shida baada ya kufanyiwa vibaya na huyo bidada , angejitambua mapema na kupata usaidizi asingefikia huko .mpaka apimwe ndio mseme #Afyayaakili
for now tunaeza sema amekusudia
Ticha wa hesabu nakuona kwenye moja na mbili ongeza njia ya equatingWatu wamechoka drama ni mwendo wa kusolve by elimination method hawataki substitution & graphical method
Only God can Judge Her
Kweli mapenzi upofuKwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
Hoja ni ile ile hata kwa mwanamke haibadiliki.Na kweli hunijui ndio maana unadhani unajadili na mwanaume mwenzako hapa
Kwa wanawake wa Grocery wahuni huwa wanawapangia plan... siku ya kwanza wanakuja na jamaa zao sita, wanakunywa bia weee, ka grocery kanajaa, magari... anajiona yeye super star... then wanapotea... sasa watu wakipungua, anachanganyikiwa.. kwanini hakuna watu wameenda wapi.... hapo sasa ndio wanaanza kumgonga wao wote sita akiwa anawaita.. akitaka waje wajaze tena Grocery... ionekane imejaa na atakuwa ananunua yeye bia...same applies kwa mama ntilie...Unamununulia iphone 15 pro max
Unamfungulia grocery
Unamununulia kagari IST
Mwisho wa siku unagongewa na wahuni wanaununua bia za buku Jeri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ndo maana tuliambiwa tuishi na wanawake kwa akili
Bado hujaweza kufikiri kidhahania unaleta majibizano ya kibinafsi.Mwenyewe..!
Duuuh yani mwanaume umnunulie vitu vyote hovyo Mwanamke ambaye siyo Mke wako, na hujazaa nae tuseme unamfungulia kwaajiri apate pesa za kumuhudumia mtoto.Unamununulia iphone 15 pro max
Unamfungulia grocery
Unamununulia kagari IST
Mwisho wa siku unagongewa na wahuni wanaununua bia za buku Jeri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ndo maana tuliambiwa tuishi na wanawake kwa akili
Afya ya akili mpaka umpime otherwise tunasema ni stress/traumaMkuu swala la tatizo la afya ya akili ni pana sana , huyo jamaa alikumbwa na hiyo shida baada ya kufanyiwa vibaya na huyo bidada , angejitambua mapema na kupata usaidizi asingefikia huko .