Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.

Nitaleta update zaidi.

Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!

UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
Ardhi imemeza warembo jama tuache masikhara.

Rest easy Penny
 
Wanawake wenyewe ndio hawa, halafu watu mnayachukulia seriuos sana mapenzi. Vijana wenzangu acheni ujinga, mapenzi kwanini yakuendeshe namna hiyo?
Kitu pekee cha kumzuia mwanamke asichepuke ni maamuzi yake mwenyewe tu.

Utaishia jela upoteze mwelekeo wote wa maisha. Bora kuanza upya tu. Hata kama alikula mamilioni yako, pesa inatafutwa bro.
Hiyo writing style ya mchepuko wako ni kweli anastahili kukigawa kama pipi tabia ndiyo imemchagua hviyo
 
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.

Nitaleta update zaidi.

Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!

UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
Kweli mapenzi upofu
 
Unamununulia iphone 15 pro max
Unamfungulia grocery
Unamununulia kagari IST
Mwisho wa siku unagongewa na wahuni wanaununua bia za buku Jeri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ndo maana tuliambiwa tuishi na wanawake kwa akili
Kwa wanawake wa Grocery wahuni huwa wanawapangia plan... siku ya kwanza wanakuja na jamaa zao sita, wanakunywa bia weee, ka grocery kanajaa, magari... anajiona yeye super star... then wanapotea... sasa watu wakipungua, anachanganyikiwa.. kwanini hakuna watu wameenda wapi.... hapo sasa ndio wanaanza kumgonga wao wote sita akiwa anawaita.. akitaka waje wajaze tena Grocery... ionekane imejaa na atakuwa ananunua yeye bia...same applies kwa mama ntilie...

Kifupi hizo biashara sio nzuri kufungulia wake au wapenzi.. hazifai..mifano hai iko mingi, refer Mariam Biriani
 
Unamununulia iphone 15 pro max
Unamfungulia grocery
Unamununulia kagari IST
Mwisho wa siku unagongewa na wahuni wanaununua bia za buku Jeri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ndo maana tuliambiwa tuishi na wanawake kwa akili
Duuuh yani mwanaume umnunulie vitu vyote hovyo Mwanamke ambaye siyo Mke wako, na hujazaa nae tuseme unamfungulia kwaajiri apate pesa za kumuhudumia mtoto.
 
Back
Top Bottom