Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Demu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV

ni rahisi kusema hivyo kwa wengine wanaouwa kama siyo wewe, sasa na yeye muuwaji ananyongwa pia au kuishia jela ya kibongo maisha yote huko jela atakuwa raped, bitten na hata kufa pia, sasa is it worth it? labda alikuwa na familia pia inayomtegemea na sasa atafia jela ya kibongo, wakati mwingine ni vizuri kujifunza ku control emotions kwani mwisho wa siku hakuna mshindi…
 
Kwa mnamjua penina ana grocery hapo goba center pembeni ya baa ya trinnidad...kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake...
Nitaleta update zaidi..!
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
Leta hizo updates zaidi ndipo tuseme zaidi, kwa sasa ni mapema kusema chochote.
Mungu amrehemu.
 
Demu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV
Not necessarily ufike huko, umeruhusu love hisia ziku control, lakini kwanini wakati zipo njia za kuziepuka? mshike Mungu wako kila kitu kitakua chenye furaha ba hutaanguka kirahisi, wenza wetu wanatumika na shetani wananguvu sana kutia hofu matumbo yetu na mioyo yetu, kinachotokea unapiga pasipo juwa you are killing someone. God above all
 
Kwa mnamjua penina ana grocery hapo goba center pembeni ya baa ya trinnidad...kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake...
Nitaleta update zaidi..!
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
Kabla huyo jamaa hajamuua kwanini asingesema"Mama kama unaona umeshafika safari yako !,bas Fanya uonavyo ni sahihi"unajikata kiaina!
Mmekutana ukubwani kwanini uamini ni yeye Hadi kifo!!?Kuna kipindi lazima uachie aende TU!

Tatizo sisi Huwa tunajitoa sana kwa hawa viumbe halafu tunasahau kujipenda wenyewe !matokeo yake tuki be disappointed ndio maamuzi ni haya!
 
Back
Top Bottom