Si mmekutana ukubwani mkuu..?? Shida ni nini..?
Kukutana ukubwani sio hoja,hata utotoni tusingekutana pia..lakini kupoteza pesa na muda kwa mwanamke mwenye tabia chafu za ghafla tena za kishenzi na maneno ya shombo inahitaji busara nyingi kuvumilia.
 
Noma sana
 
Kupoteza muda na rasilimali fedha kwa mtu doesn't sound like ni tatizo lake unless alikulazimisha which is ujambazi au kama alikutapeli. Hapo ni makosa yako binafsi na kuua haisaidii ku rectify makosa.
 
Kila mtu kama sio wote wamepata pesa kwa ugumu. Ugumu ni subjective matter. Kikubwa ni watu wote watumie akili sana kwenye kupenda na sio hisia. Wanawake mtawaua sana na mtaenda jela kwa sababu za kipumbavu.
Wanawake watumie akili,wasidanganyike na makalio.
Matatizo mengi hapa duniani yanaletwa na wanawake,ndio maana hata Yesu hakujihusisha nao.
 
Wanawake watumie akili,wasidanganyike na makalio.
Matatizo mengi hapa duniani yanaletwa na wanawake,ndio maana hata Yesu hakujihusisha nao.
Una uhakika hakujishughulisha nao..?
Kwenye wanafunzi wake yesu alikuwepo mwanamke na alimtoa kwenye brothels. Fatilia story ya mtu anaitwa Maria Magdalena uje unipe ushuhuda.
 
Kupoteza muda na rasilimali fedha kwa mtu doesn't sound like ni tatizo lake unless alikulazimisha which is ujambazi au kama alikutapeli. Hapo ni makosa yako binafsi na kuua haisaidii ku rectify makosa.
Okay,tuchukulie alinishawishi au kunilazimisha tena kwa mahaba fake,hapo unategemea mwisho mzuri kweli?
 
Ni huyohuyo mpenzi wake. Ila sasa kama ulimpata mpenzi Bar, kwanini uamini ukiwa naye utambadirisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…