Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Umeandika ukweli ila vichwa Maji hawatakuelewa waambie Wanaume wenzio waache kutanguliza pesa mbele kama kigezo cha kupendwa au kumtuliza Mwanamke.Unasomesha demu kwani wewe Bodi ya Mikopo? Hana kwao?
Ukihudumia ukoo mzima hapo wewe ndiye mwenye matatizo.