tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Huyo mwanamke inawezekana yeye mwenyewe ndiye ameharibu. Wanawake wanakera wewe acha tu mkuu.Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah