GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kafie mbele huko....!!Kilimanjaro hakuna sehemu inaitwa Kibororoni*
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafie mbele huko....!!Kilimanjaro hakuna sehemu inaitwa Kibororoni*
Tunakimbizana na kasi ya ukuaji wa TeknolojiaMimi nilijua Mbobezi wa kununua Mbunye niko peke yangu tu nisiyetka Stress za Mademu kumbe nina Wenzangu kibao?
Pole sana pole mkuu kwa kumpoteza ur lover😪Ooh, Penina my lover, why have u die, come back Penina, ooh Penina will miss you....R.I.P
Hovyo KabisaaYaan watu wengine wanajitafutia matatizo tu sasa demu anauza glocery we nae unamwita demu wako wakati yule ni malaya...hv mteja kalipa bill lak 3 ataacha kumpongeza mteja wake?...yaan mbususu ipo sokoni we unataka iwe yako peke yako inawezekanaje?
Sasa Mwanaume nae ana kitu gani cha ziada katika Dunia hii zaidi ya mti katikati ya mapaja yake tena ni kiumbe katili sana katika Ulimwengu huu.Wanawake hawana chochote cha thamani zaidi ya MAKU,ndiyo maana akili yao siku zote ni kuhakikisha anaitumia MAKU yake vizuri ili kuleta Migogoro kwenye jamii!
Walipoumbwa walinyimwa kila kitu ila wakapewa MAKU!
Ni jukumu la Vijana kulitambua hili!
GharamaBinafsi sitaki kusikia kuhusu mahusiano napambba nawanangu.
Wahuni wanafumua kwa huyohuyo mke wako unayemuhongaMi nilishasema kama ni lazima sisi wanaume kuhonga basi mie huwa namhonga mke wangu tu ili hata kama atanisaliti basi walau ntabakia na watoto aliyinizalia wa kunifariji uchungu wa pesaa angu.
Siku utakayogundua watoto hao si wako ndipo utakapokumbuka kujipenda mwenyewe.Mi nilishasema kama ni lazima sisi wanaume kuhonga basi mie huwa namhonga mke wangu tu ili hata kama atanisaliti basi walau ntabakia na watoto aliyinizalia wa kunifariji uchungu wa pesaa angu.
It depends na UWEKEZAJI uliofanyika... Unapowekeza HISIA na PESA zote sehemu moja haya ni kawaida....
Ni kweli mwamba. Mimi zamani nilikuwa napenda kwa kishindo. Ila jinsi navyokua na use common sense. Dawa moja ya hawa viumbe ukiona tu ameanza na umemuhis potezea yani usijali kabisa wanajisikiaga vibaya sana ukiwaignore.Tena hakuna mtu anaejua kupenda kama mimi ,sema katika kupenda kwangu huwa situpilii mbali swala la matumizi ya akili.
Njoo nikuoeBinafsi sitaki kusikia kuhusu mahusiano napambba nawanangu.
mama ntilie hapo ndo balaaaMwanaume kua na mahusiano na kumkabizi moyo mwanamke anaeuza grocery,bar na mama ntilie ni kujivika bomu mda wowote linaripuka
Dogo usiseme hivyo mengine huwa yamepangwa kutokea tangu umezaliwa. Mimi anakuambia ukweli kuna wakati nilitaka ku commit murder suicide kuua na mimikujiua ila hadi leo najiuliza nini kilinizuia. Yesu ni MunguNakuzingua tu
Hao wanaoua hawajielewi siwezi kuua mtu kwa chochote wala kugombania mwanaume
Unasema hivyo kwasababu hujampata unayempendaukiona anazingua achana nae.
Wageni wa mapenzi ndo mnaleta shida zote hizi.
1.Mwanaume ana akili timamu,Mwanamke hana akili timamu!Sasa Mwanaume nae ana kitu gani cha ziada katika Dunia hii saidi ya mti katikati ya mapaja yake tena ni kiumbe katili sana katika Ulimwengu huu.
Wewe masikio unaposikia tatizo la afya ya akili huwa unaelewa kitu gani?Maumivu ya mapenzi na afya ya akili vinauhusiano gani acha upotoshaji
Kweli ulipenda!🤸😂Dogo usiseme hivyo mengine huwa yamepangwa kutokea tangu umezaliwa. Mimi anakuambia ukweli kuna wakati nilitaka ku commit murder suicide kuua na mimikujiua ila hadi leo najiuliza nini kilinizuia. Yesu ni Mungu
Acha ubahiliNa unawekeza vipi kwa mwanamke asiye mke mzee baba?