Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Ni kweli mwamba. Mimi zamani nilikuwa napenda kwa kishindo. Ila jinsi navyokua na use common sense. Dawa moja ya hawa viumbe ukiona tu ameanza na umemuhis potezea yani usijali kabisa wanajisikiaga vibaya sana ukiwaignore.
Ukiweka kipaumbele cha kujipenda wewe kwanza nakujitanguliza wewe kwanza kwenye kila kitu ,mapenzi hayawezi kukuyumbisha hata kidogo.
 
Mahusiano sio kwa watu wenye Akili ndogo.Maana yana udhi sana kama wewe ni mtu wa kuumizwa na vitu vidogo vidogo dont invest in your relationship na your patner.Utakuja kuua buree Au kufa kwa kujiua.
Kwahiyo ulifanya Study ( Research ) na ukagundua kuwa Watu wote walio katika Mahusiano ndiyo Werevu duniani? Aibu kweli kweli....!!
 
Wahuni wanafumua kwa huyohuyo mke wako unayemuhonga
Sawa tu as long as anarudi nyumbani ananipa na mie shida wapi ndugu? Huwezi kuzuia matumizi ya kidude chake binafsi yeye ndo kwenye mamlaka nacho na anatembea nacho kila aendako, same as you maana hata cha kwako hujawahi kiacha.

Kwa hiyo hiki ki seemu cha siri ni mali ya mtu binafsi, kutaka kukihodhi as if ni cha kwako - UTAKUFA mapema ndugu ukiacha watu wakila bata hapa Duniani.
 
1.Mwanaume ana akili timamu,Mwanamke hana akili timamu!

2.Mwanaume ni mchakarikaji,Mwanamke hawezi kuchakarika!

3.Mwanaume Uume hautumi kujipatia kipato,Mwanamke uke wake ni sehemu ya mapato!

4.Mwanaume anaheshimika na jamii zote,Mwanamke haeshimiki kwasababu ya tabia zake

5.Mwanamke hawezi kufanya jambo lolote la maana bila Mwanaume,Mwanaume anaweza kufanya jambo la maana bila mwanamke!

6.Mwanamke yeye mwenyewe huwa haelewi anataka nini katika maisha yake binafsi,Wanaume ni watu wa mipango!

7.Mwanaume anakojoa amesimama,Mwanamke kukojoa lazima achutame


Aliyewaumba alitoa tahadhari "ISHINI NAO KWA AKILI",Aliyewaumba mwenyewe anawaogopa,sembuse mlala hoi wa Bunju?
Maelezo marefu kama Mwanaume angekuwa na akili timamu asingekubali kula tunda huko eden,yaani ndio maana Mungu alimuumba Mwanaume akaona huyu kichwa Maji huko Duniani bila Mwanamke hatoshi ngoja nimletee mkamilifu zaidi yake 😁😁
 
Maelezo marefu kama Mwanaume angekuwa na akili timamu asingekubali kula tunda huko eden,yaani ndio maana Mungu alimuumba Mwanaume akaona huyu kichwa Maji huko Duniani bila Mwanamke hatoshi ngoja nimletee mkamilifu zaidi yake 😁😁
Dunia bila ya Mwanamke ilikuwa kamilifu,ila baada ya Mwanamke mambo yaliharibika!

Hapo ndo utajua hii Dunia inaharibiwa na Mwanamke na Uke wake!
 
Kuna mdogo wangu aliteswa na mapenzi mpka akafikia hatua yakunishirikisha , nikamwambia ahakikishe kwanza ni upwiru ulikua unamsumbua au yalikua ni mapenzi ya kweli ,finally alinitafuta akaniambia ilikua ni upwiru bro.
Labda huyu aliyeua itakua alikua hana hela njaa inamuuma na pisi imemzingua
Unakuaje na stress za mapenzi hadi ufikirie kuua mtu wakati umekula umeshiba una hela ya akiba ndani😂
 
Back
Top Bottom