To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
HakikaNot necessarily ufike huko, umeruhusu love hisia ziku control, lakini kwanini wakati zipo njia za kuziepuka? mshike Mungu wako kila kitu kitakua chenye furaha ba hutaanguka kirahisi, wenza wetu wanatumika na shetani wananguvu sana kutia hofu matumbo yetu na mioyo yetu, kinachotokea unapiga pasipo juwa you are killing someone. God above all