Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Unasambaza sumu kwenye jamii its not okey kwanini umuue hata afanye kosa gani, let her GO, Wanasema jambo gumu kwa mwanadamu ni ku control hisia na ni kweli ukiweza kumuda kuzi control hisia zako maisha yako yatakua mazuri sana
Kasome historia ya dunia,pitia vitabu vya dini utajifunza ya kwamba msaliti hukumu yake ni KIFO.
Mungu mwenye upendo wote na huruma zote ametoa amri atakayefanya usaliti kwenye ndoa apigwe mawe hadi kufa.Ina maana wewe una akili, huruma na upendo kuliko Mungu?
 
Maelezo marefu kama Mwanaume angekuwa na akili timamu asingekubali kula tunda huko eden,yaani ndio maana Mungu alimuumba Mwanaume akaona huyu kichwa Maji huko Duniani bila Mwanamke hatoshi ngoja nimletee mkamilifu zaidi yake 😁😁
Yaani mtu aloumbwa kwa kisehemu cha mwanaume tena tumbavu tu awe sawa na yule aloumbwa kwa mjengo kamili?
Sema ndo hivo ndo dada zetu hatupaswi kuwasema vibaya.
 
Hiyo writing style ya mchepuko wako ni kweli anastahili kukigawa kama pipi tabia ndiyo imemchagua hviyo
Wala si mchepuko wangu. We just met and coincidently exchanged digits....just to find later she is married but wants to keep me close.
Kuna shida kwenye elimu za watu wetu, hata humu JF watu wanaandika hasubuhi.......chagua kile unataka toka kwake, ujinga wake mwachie mwenyewe.
 
Dah watu wanateseka sana na mapenzi ndio mana mm nimeamua kutokuchukulia serious mambo ya mapenzi
Wanateseka na hela wanazo invest kwa wanawake then baadae mwanamke anajiamulia kuvunja mahusiano akipata mteja mwenye hela zaidi na anavunja kwa dharau, matusi na kejeli, mauaji yatazidi tu hata watunge sheria kali vipi, utapeli/wizi kwa kichaka cha mapenzi umezidi, kama humpendi mwanaume usipokee hela yake, matokeo yake mauaji mama mortuary/kaburini, baba jela maisha, watoto yatima😥
 
Back
Top Bottom