blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Acha uongo..Binafsi sitaki kusikia kuhusu mahusiano napambba nawanangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo..Binafsi sitaki kusikia kuhusu mahusiano napambba nawanangu.
Huyo dada kama ndio huyo kwenye picha zilizotumwa sioni hata kama kwenye u beauty kama yupo.Beauty has sent a lot of girls to marriage but character is busy returning them to their father's house or taking them to the graveyard...
Ipo tofauti ila kuna mahusiano makubwa ya hivyo vitu.kuna tofauti kati ya msongo wa mawazo/stress na Afya ya Akili/MentalHealth
Na ndo mentality ya wengi ahudumiwe kwingine akaliwe kwinginemkuu nimecheka sana ila utakuta malaya alikua anachukua vya mwamba alafu analika kwingine mwamba kajua kaamua bora asepe dunia tunapita😂😂😂😂 au drama za kijinga tu za madem
Ulivoniita teacher nimestuka vbya sana, anyway kama mwalimu wa hesabu nakwambia hutafika mbaliTicha wa hesabu nakuona kwenye moja na mbili ongeza njia ya equating
Dah pole sana aiseeNacheka tu kuounguza mawazo
Nimezika mama angu mwanangu
Kasome historia ya dunia,pitia vitabu vya dini utajifunza ya kwamba msaliti hukumu yake ni KIFO.Unasambaza sumu kwenye jamii its not okey kwanini umuue hata afanye kosa gani, let her GO, Wanasema jambo gumu kwa mwanadamu ni ku control hisia na ni kweli ukiweza kumuda kuzi control hisia zako maisha yako yatakua mazuri sana
Ila na anaehudumia pia si anakula mkuu?Na ndo mentality ya wengi ahudumiwe kwingine akaliwe kwingine
Nlikuwaga mtabe wa math rafiki yangu sema ndo vle bongo bahati mbayaQuadratic equations [emoji119][emoji28]
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Asante mwananguDah pole sana aisee
🤗Afya ya akili mpaka umpime otherwise tunasema ni stress/trauma
Yaani mtu aloumbwa kwa kisehemu cha mwanaume tena tumbavu tu awe sawa na yule aloumbwa kwa mjengo kamili?Maelezo marefu kama Mwanaume angekuwa na akili timamu asingekubali kula tunda huko eden,yaani ndio maana Mungu alimuumba Mwanaume akaona huyu kichwa Maji huko Duniani bila Mwanamke hatoshi ngoja nimletee mkamilifu zaidi yake 😁😁
🙏🙏
Mkuu inaonekana unatoka bongo mda sana, huku Tz unahudumia Hata busu hupatiIla na anaehudumia pia si anakula mkuu?
Wala si mchepuko wangu. We just met and coincidently exchanged digits....just to find later she is married but wants to keep me close.Hiyo writing style ya mchepuko wako ni kweli anastahili kukigawa kama pipi tabia ndiyo imemchagua hviyo
Wanateseka na hela wanazo invest kwa wanawake then baadae mwanamke anajiamulia kuvunja mahusiano akipata mteja mwenye hela zaidi na anavunja kwa dharau, matusi na kejeli, mauaji yatazidi tu hata watunge sheria kali vipi, utapeli/wizi kwa kichaka cha mapenzi umezidi, kama humpendi mwanaume usipokee hela yake, matokeo yake mauaji mama mortuary/kaburini, baba jela maisha, watoto yatima😥Dah watu wanateseka sana na mapenzi ndio mana mm nimeamua kutokuchukulia serious mambo ya mapenzi
Nimepambana nayo sana mkubwa!Mkuu umeongea kihesabu zaidi. Nimekupata
Huo sasa ni ugoigoi mkuu inakuaje unahudumia na haupewi na upo tu🤔Mkuu inaonekana unatoka bongo mda sana, huku Tz unahudumia Hata busu hupati