Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Mfumo mzuri wa mapenzi ni ule ukihitaji penzi unatafuta dada unamlipa anakupa penzi mnamalizana. Siku nyingine ukihitaji penzi unatafuta mwingine au unamuita huyo huyo unamlipa anakupa penzi mnamalizana.
Haya mambo eti mtu ana mpenzi anahudumia wakati haina tofauti yeyote n kwa sababu wanawake karibia wote wanauza na hawana mteja mmoja. Wanaume wanapaswa kuondoka katika mfu.o wa kuwa na mpenzi wa kudumu.
Buyer seller relationship ndio mfumo bora kwa-mazingira ya sasa.
Kuna penzi na kuna ngono.
Penzi haliuzwi na halipatikani kizembe namna hiyo,ila ngono ni utayari wako tu unawezatumia pesa ama kitu kingine kuipata.

Hisia za mapenzi kwa mtu ni kitu kizito sana,ila tunasisitiza mno hata kama unaingia,basi hakikisha unaingia na mguu mmoja.

Mpenzi/Mkeo/Mumeo anaweza kusaliti nje kwa sababu mbali mbali,kikubwa uwe umejiandaa kwa hilo si kufikiri haliwezi kutokea.
 
daah kweli wanaume tumeumbiwa mateso maana kila mtu analalama penina alikuwa penina alikuwa vile yani full penina

surprisingly no one anaongelea hatima ya huyu kijana mdogo wa kiume aliyefanya maamuzi makubwa kwa shinikizo la kuhemkwa na hasira kiasili ya kibinadam.

maisha ya kijana tayari yamegeuka chini juu na pengine kwa miaka mingi kuanzia sasa atakuwa kwenye safari za nenda rudi kati ya mahakamani na gerezani.

kwa miaka mingi mbeleni hatawaona marafiki zake aliokula nao bata.

sasa mapoti (mapolisi), wanasheria na watuhumiwa wenzake ndo wameshachukua iyo nafasi.

hapo kwa uchache sana tutaanza kumskia huko 2030s. yani there is no second chance for this little chap.
Ndio maana ktk haya maisha tunatakiwa kujua tuna nafasi moja tu ya kujaribu maisha,nafasi hiyo inatunzwa na maamuzi yetu ya sekunde chache sana sio yale maamuzi ya kulala unatafakari NO.

Dunia hii iko fair kwako kama tu,sehemu kubwa utakuwa unaiskiliza yenyewe sio kujisikiliza wewe,kwamba nina nyege wacha nile mtoto(umeliwa),nina nyege wacha nitie kavu(umeliwa),nina nyege wacha nile mke wa mtu(umeliwa)nimemfuma mpenzi wangu acha niue(umeliwa)
 
Kuna Watu wa zamani hawana huu msamiati, mwanamke akiwa malaya anampa talaka halafu analipwa fidia na mgoni wake unavuta mke mwingine. Kugongewa ni msamiati wa vijana wa 88-2000 na kuendelea.
Nilikua sijui kama unaongelea mambo ya kale au vijijini sana miaka ya 88 kurudi nyuma. DSM hapo hapo kariakoo na magomeni watumejinyonga na kuuana kisa wanawake. Nadhani kama ulikua Dar ulikua mdogo sana au haukua DSM kabisa.
 
Demu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV
Ni hatari sana aisee mwanamke ukimpenda ukamuweka moyoni na kumuamini kisha baadae akakufanyia tukio fulani la kukuvunja moyo maumivu yake sio mchezo ukiwaza jinsi anavyokupaga utamu kwa staili mbalimbali kisha baadae ukisikia kuna muhuni naye anamfaidi usiombee ndugu yangu.
Matokeo yake huwa sio mazuri
 
Hawa wanawake pia wajifunze kuwa na heshima kwa wanaume. Mtu anajitoa anakuhudumia kila kitu halafu unaleta umalaya wako hiyo ni dharau kubwa sana na kukosa nidhamu. Hii iwe funzo kama unataka kula vya bure basi tulia ule sio ulete ujuaji utakula panga.
 
Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa Goba center.

Taarifa ya Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP. Muliro Jumanne imeeleza kuwa tukio hilo limetokea Mei 23, 2024 majira ya 07:00 huko maeneo ya Goba Center, Kinondoni katika Pub ya iitwayo Penina.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa, uchunguzi wa awali wa Polisi unaonesha kulikuwa na mgogoro wa kimahusiano kati ya mtuhumiwa na marehemu kabla ya kushambuliwa kwa panga na mtuhumiwa.

Aidha, taarifa ambazo Dar24 Media imezipata kwa vyanzo mbalimbali zinabainisha kuwa Joseph alikua anamuhisi mpenzi wake anachepuka, na inasemekana siku hiyo Penina hakurejea nyumbani hali iliyomlazimu mtuhumiwa kumfuata ofisini kwake na kumshambulia hadi kupelekea umauti.

Inaarifiwa kuwa pia Penina ameacha watoto wawili na mwili wake unazikwa hii leo Mei 24, 2024 jioni huko Goba huku Polisi ikisema upelelezi unakamilishwa, ili mtuhumiwa afikishwe Mahakamani haraka iwezekanavyo.
 
🤣🤣🤣🤣 aisee huyu msukuma kweli kwa penina alikamatika haswaaa ... Yani kashikwa tu kidevu ndiyo kafumba hadi macho
Hebu muone
 

Attachments

  • FB_IMG_1716550314996.jpg
    FB_IMG_1716550314996.jpg
    65.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom