Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Jamaa alitaka kufuga temboo haya limemkuta jamboo... Sema mwana atakuwa ni msukumaa flani hivi cheupe kikammix kama mzee baba magu kwa joke alishindwa kujizuia kabisa akamlamba das kichwa
 
Mwanaume kua na mahusiano na kumkabizi moyo mwanamke anaeuza grocery,bar na mama ntilie ni kujivika bomu mda wowote linaripuka
Jana tu nimemsoma Dr Sibi anasema , kwanini ukabidhi pendo lako kwa mtu mwingine..Anasema jipende mwenyewe... Kupata sehemu ya kufanya sex siyo mapenzi ile ni huduma na unaweza kuipata sehemu nyingi kibao zipo kwa njia tofauti tofauti.. Jipende mwenyewe
 
Yuko sahihi. Hakuna mbadala wa mtu hata siku moja, tusiweke matumaini kwa watu. Jijali kwanza wewe watu wengine wafuate. Futaha ya kweli ni ile ya kujipa mwenyewe. Ukitegemea binadamu akupe furaha utakuja kukatishwa tamaa na kufanya maamuzi ya kijinga kama huyo ngosha.
 
Hivi mkuu nikukate kwenye kitendea kazi utakuwa na nguvu hata ya kunishika mkuu😁😁😁Yaani nazamisha mpaka kwenye nyama nyeupe🐒
Yani sahizo unatoa kiwembe hadi unani attack nitakuwa sikuangalii? Labda univizie usiku nikiwa nimelala. Nishashikiwa kisu ila aliyekishika alijutia uamuzi wake 😁
 
Back
Top Bottom