Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Hasara tupu mkuu. Mfano Unaokota baamedi unategemea awe mtulivu wakati alishazoea kula vichwa utaishia kuua tu daily. Au umekuta changudoa huko anajiuza unaokota na kuapa kumbadilisha kwa kumpa kila kitu ukitegemea utakua alone hio ni impossible mission
Upo sahihi,ila wanawake Wana pretend sana..anaweza kujifanya mpole na mtulivu kumbe moto wa gesi.
Bora wawe wanajionesha mapema sio kufake mapenzi.
 
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.

Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!

UPDATES:
Mtuhumiwa baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama dakika mbili kwa kutembea. Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa. cc nifah

==========

JamiiForums ilipowasiliana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amesema: “Ni tukio la kweli na limeshatufikia, mwenye mamlaka ya kutoa taarifa zaidi ni RPC Jumanne Muliro, wasiliana naye atakupa taarifa na tayari ameshalizungumzia.”



Pia soma: Polisi wamtaka aliyekuwa mpenzi wa Penina wa Goma Center
So 😢
 
Demu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV
Ungekuwa umwwahi kukaa rumande hta kwa siku moja ungebadilisha sana msimamo wako wa ku deal na violence.
Hakuna kitu inauma kama kunyimwa uhuru wako, jela hakufai!!!
Mwanamke akikuzingua tatuta mwingine usihangaike naye. Dogo hapo anaenda kuozea jela naatajutia sana huo uamuzi wa kuumwa.
 
Tatizo wanawake warembo wenye makalio makubwa wana mambo ya ajabu, sasa wakikutana na mwanaume asiye na akili ndo wanauwawa.

"Baby, uza ile nyumba ya mama yako nipe mtaji niachane na biashara ya baa ina vishawishi."

Mtu anauza, mama anapangiwa chumba kimoja halafu anafumaniwa na mwanaume bar, akiulizwa mbona hutoki huko baa na mtaji nimekupa anaanza majibu ya kipumbavu. Unategemea nini zaidi ya kichwa kutenganishwa na makalio?
Sahihi
 
Dar na ku-Danga ni synonym, robo tatu ya wanawake wa Dar, wakiwemo wake za watu, ni malaya, kama nu mke wa mtu anaishi na mumewe katika nyumba ili apate sehemu ya kujikinga jua na mvua na giza
Maisha magumu mji huu, mademu wanalazimika kuwa na kazi za ziada ili kumudu gharama na fantasies mbali mbali. Kudanga ndio easy option ambayo wengi hupenda kutumia.
 
Ila Wasukuma kwa kulazimisha mapenzi kwa kweli hawajambo, mapenzi hawayawezi ila watapambana mpaka kieleweke na wako tayari kuua, yaani hawana tofauti kabisa na Waarab hawa watu.
 
Mwanamke anaongeaga

na mtu bila lengo? We uliskia wapiii???
Sasa mnavyoendaga ku cheat huko hadi mnazaa na mnategemea mwanamke awaelewe na asiulize huwa inakuwaje?

Worse enough ukute huyo ngosha ndo alikua mchepukaji mkuu tena wa hivyo huwa wana wivu balaa kumbe wao huko nje ndo wamezidi.

Mimi nawahakikishia mara nyingi ukiskia mwanamke ame cheat ni either mwanaume wake amemcheat sana na analipiza kisasi au mwanaume hana muda nae. Bishaneni na ukweli
 
Lilikuwa tukio la kitaifa?
Yalikua ni matukio ya kawaida kabisa ya kijamii, sema kwavile redio ilikua moja, RTD na hakukua na mtandao ya kijamii, basi hayakujadiliwa kitaifa kama hili la Penina wa Gobs, maana hapa hata aliye kigoma anajadili.
 
Hoja ni ile ile hata kwa mwanamke haibadiliki.

Ndiyo maana nikasema una tatizo la kufikiri kidhahania.

You are incapable of abstract thinking.

Bado una personalize "mimi, mwanamke" badala ya kuangalia hoja ya msingi.
Mzee wa ligi, hadi kwenye uzi wa huzuni na mauti unaleta ubishi tu.
 
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.

Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!

UPDATES:
Mtuhumiwa baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama dakika mbili kwa kutembea. Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa. cc nifah

==========

JamiiForums ilipowasiliana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amesema: “Ni tukio la kweli na limeshatufikia, mwenye mamlaka ya kutoa taarifa zaidi ni RPC Jumanne Muliro, wasiliana naye atakupa taarifa na tayari ameshalizungumzia.”



Pia soma: Polisi wamtaka aliyekuwa mpenzi wa Penina wa Goma Center
So much trouble in the world!Hakuna mjanja wa mapenzi wala pombe.Yasikie hivyohivyo na usimlaumu mtu.Eee Baba Mungu tuepushe na kikombe hicho.Apumzike kwa amani Penina.Aaamiina!🙏
 
Nilikua sijui kama unaongelea mambo ya kale au vijijini sana miaka ya 88 kurudi nyuma. DSM hapo hapo kariakoo na magomeni watumejinyonga na kuuana kisa wanawake. Nadhani kama ulikua Dar ulikua mdogo sana au haukua DSM kabisa.
mkuu Kakumamoto hili jina lako linahitaji uzi unaojitegemea wenyewe [emoji1787][emoji1787]
 
Mzee wa ligi, hadi kwenye uzi wa huzuni na mauti unaleta ubishi tu.
Hao wanaokufa wenyewe wanaenda hospitali kukibishia kifo.

Wewe kuninukuu na kuniita mbishi hapa ni ubishi pia.

Kungekuwa hakuna ubishi kungekuwa hakuna maisha.

Tatizo akili ndogo huwezi kutenganisha hoja na kiroja.

Mimi nilikuwa nishasahau habari hizi, wewe ndiye unaziendeleza.

You don't want it with me. I don't do it, I overdo it.
 
Back
Top Bottom