mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Aliwafanyaje hao two innocent guys?Mimi urafiki na mtu tajiri wa ndagu sitaki,mtu ana ulimwengu wake wa ajabu ajabu wa kazi gani.
Refer yule mangi tajiri wa ndagu aliejiua pale sinza bar lakini kabla ajajishoot alishaharibia maisha ya two innocent guys.
Fanya nawewe hizo mbwembweHakuna tajiri hapo, mbwembwe tu
Ongezeka nyama kidogo, ana kelele alafu pesa kidogo sana, Bora awe na kelele alafu ana mzigo.Eti una kelele.
Hajaita mtu ni sisi tu ndo tumempa airtime tunge kaushaMbona huyo GSM kapiga kelele mpaka nchi nzima imesikia?
MabatiKiwanda cha kuzalisha nini?
Alichofanya huyu jamaa siyo kigezo cha kifedha (HARUSI NI MAANDALIZI PENGINE YA MWAKA MZIMA)PICHA linaanza Kijiji cha katoro, geita. Ni sherehe ya send off tu si harusi, bibi harusi kapewa bilioni Moja na milioni mia nne kama zawadi ya wana kamati, kabebwa kwenye helicopter, gari zilizopo kwenye msafara tu balaa Mzee, Dola zimetunzwa Kwa msanii alikiba, sio poa watu wana hela.
Kuna yule jamaa wa Singapore mtumieni zile shots asafishe macho, pesa HAITAJI KELELE.
Harusi za wachaga nilizani ni za kitajiri kamati tu wanatia milioni mia mbili mia tatu, Jana ndo nika gundua hao jamaa ni machenchele tu pesa ya kawaida sana, halitoshi mjini ni ndogo sana, kubwa Kwa sisi masikini.
View attachment 3628591
View attachment 3628596
🤣🤣🤣Huu Uzi hauchangiwi na wachaga,plus wahaya🙌
Nimesema tu.
FEdha ya dhahabu haidumu wengi wao hawatoboi miaka 2 inaisha anaanza upya.kwamba wakipata bilioni 6 wanahonga zote kwa wanawake ama?
Hizo hekaya watu hawazitaki wanataka pesa tu ifanye matusiHakuna cha ajabu hapa. Mnaijua net worth ya mtoa zawadi?
Ukitaka kuyaangalia mambo kwa usahihi yaweke kwenye context sahihi. Consider them in relative terms, not absolute terms!
Mtu ambaye net worth yake ni TZS 5 million akitoa zawadi ya TZS 1 million (20% ya net worth yake) atakuwa ametisha kuliko mtu mwingine mwenye net worth ya TZS 25 billion aliyetoa zawadi ya TZS 2.5 billion (10% ya net worth yake)!
Alichofanya huyu jamaa siyo kigezo cha kifedha (HARUSI NI MAANDALIZI PENGINE YA MWAKA MZIMAPICHA linaanza Kijiji cha katoro, geita. Ni sherehe ya send off tu si harusi, bibi harusi kapewa bilioni Moja na milioni mia nne kama zawadi ya wana kamati, kabebwa kwenye helicopter, gari zilizopo kwenye msafara tu balaa Mzee, Dola zimetunzwa Kwa msanii alikiba, sio poa watu wana hela.
Kuna yule jamaa wa Singapore mtumieni zile shots asafishe macho, pesa HAITAJI KELELE.
Harusi za wachaga nilizani ni za kitajiri kamati tu wanatia milioni mia mbili mia tatu, Jana ndo nika gundua hao jamaa ni machenchele tu pesa ya kawaida sana, halitoshi mjini ni ndogo sana, kubwa Kwa sisi masikini.
View attachment 3628591
View attachment 3628596
Umepaniki bro hajasema katoro KASEMA Kanda ya ziwa ana mana Kanda nzima geita, mwanza nkNi kama vile huko katoro mmeishi nyie peke yenu eti?? Acheni uongo, kweli katoto ilingane na dar kwa bata 😃😃😃kwahiyo laki 6 nayo ni pesa ya kutetemeshea bar!!! Hapo babati tu wanakula bata katoro mkalale
Mji mdogo sana mmejazana wanyantuzu na hela zenu za ndagu, kwendeni huko hebu liheshimuni jiji la wazaramo nyie,
Pesa zinayeyuka kama upepo, watu wanawashobokea waha kuhusu ulozi wakati ni matapeli tu, ukitaka ulozi nenda usukumani huko ndo kuna waganga konki kigoma wakarare,Kabisa Kuna dogo tumesoma nae mwanza green view miaka hiyo aliacha shule kaenda kwenye DHAHABU Kwa baba yake kapiga pesa kibao sijui alifanyaje akafulia balaa, sijui kama asharud I top tena sijamcheki miaka, ila Kuna dogo alikua burn CD pale geita town alimake pesa sio poa
Jamaa analeta siasa kwenye maisha halisi, watu hawataki maneno wamechoka wanataka pesa iongeeeHizo hekaya watu hawazitaki wanataka pesa tu ifanye matusi
Hata hiyo kanda ya ziwa mjiungamanishe wote kuifikia dar bado sana, hebu acheni basi hao mamilionea wenyewe wakizipata wanakimbilia kuzilia huku huku dar, na wanawake wanaowakausha uzazi ni wa huku huku dar, miji yote inayochangamka kanda ya ziwa hujiita dar ndogo, nimeishi sana kanda ya ziwa hamna cha kunidanganyaUmepaniki bro hajasema katoro KASEMA Kanda ya ziwa ana mana Kanda nzima geita, mwanza nk
Sio harusi hio sendoff, alafu maandalizi ni ruksa Kwa kila mtu nawe Fanya🫵🤣🤣🤣Alichofanya huyu jamaa siyo kigezo cha kifedha (HARUSI NI MAANDALIZI PENGINE YA MWAKA MZIMA
Nilijua tuu, wewe tena hupitwi na fursaNatafuta chumba katoro
Upo kiushabiki siwezi kukuzuia baba,Hata hiyo kanda ya ziwa mjiungamanishe wote kuifikia dar bado sana, hebu acheni basi hao mamilionea wenyewe wakizipata wanakimbilia kuzilia huku huku dar, na wanawake wanaowakausha uzazi ni wa huku huku dar, miji yote inayochangamka kanda ya ziwa hujiita dar ndogo, nimeishi sana kanda ya ziwa hamna cha kunidanganya
Na wewe kuwa shabiki mremboUpo kiushabiki siwezi kukuzuia baba,