Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. β€˜GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Huko das lam mmejazana maskini wachangamfu
 
Mkuu funguka zaidi !
Maana mambo haya tulishazoea kuona kipindi cha miaka ya nyuma naona sahv yanataka kurudi tena
Au ndiyo kuoneshana umwamba

Ova
Kilichofanyika Katoro ni upungufu mkubwa wa akili. Kwenye nchi maskini kama hii wachache wasiojitambua wanachezea pesa badala ya kufanya mambo yatakayowapatia ajira wenzao.
 
Jifunze kwanza kuhusu tamaduni za harusi za India

Iko hivi kwa India, harusi huwa si tu ndoa bali ni pia onyesho la utamaduni, uwezo wa kifedha na hadhi ya familia
Nafikiri hii kitu hata Wasukuma wanayo.Sherehe zao sio tukio dogo nfo maana kwenye simulizi tulisikia Wasukuma kuolewa ilikuwa inagharimu ng'ombe nyingi ikiambatana na shughuli idumuyo siku kadhaa.

Sasa nadhani huyu wa sasa kaifanya kisasa ndo maana imewika sana.
 
Kilichofanyika Katoro ni upungufu mkubwa wa akili. Kwenye nchi maskini kama hii wachache wasiojitambua wanachezea pesa badala ya kufanya mambo yatakayowapatia ajira wenzao.
Serikali Ina misafara ya kufuru barabarani
Wabunge wanalipwa posho za kufuru,zote hizo ni Kodi za wananchi na mihela ya mikopo, huku walimu wakisota na mishahara kidogo.

Gsm ni nani asiinjoy maisha na pesa zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…