zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
"daaah, jamaa ana hela yule bhana. juzi kati si kaenda pale nmb kachukua milioni 100 mkopo... sema kiatu chake anapenda brand ya nike... hakimtoi kihivyooo. halafu mikoani ana hoteli 10 kubwa kubwa zote" 😀Habari za matajiri waulize maskini
Alafu ukiwakumbusha wamatumbi wanakuja kuku attack.Kila mtu atumie pesa zake atakavyo.Ingawa pesa za hao jamaa wa madini, wavuvi n.k hazihitaji akili nyingi na wao mambo yao yako hivyo hivyo.
Sema waafrika tuna matatizo walai,hao jamaa hata Mwanza pale hawana maji ya uhakika, si wawekeze huko.Si wajenge waviwanja sasa kama haya ya world cup USA.Afrika wengi pesa zetu haziheleweki na hazina mfumo na ndo maana hata mchango wa mija kwa moja kwa jamii huzihoni.
Wazungu private individual wamejenga ma vyuo, wamawekeza kwenye start ups, sisi huku tunaziona kuchanga kwenye harusi.
Vyovyote Tu lakini kaamua kumfanyia send off kwa namna ambayo yeye ameona inafaa!Huyo sio Binti yake wa kumzaa, amemlea tu kama mwanae ila si mwanae
Kiaje tena mkuu?Madam, hela nyingi inakaa kwa watu ambao hawana moyo wa huruma hata chembe.
Hao viongozi wametoka kwenye familia zetu hawakushushwa kutoka mbinguni. Hivyo tusiwalaumu.Serikali Ina misafara ya kufuru barabarani
Wabunge wanalipwa posho za kufuru,zote hizo ni Kodi za wananchi na mihela ya mikopo, huku walimu wakisota na mishahara kidogo.
Gsm ni nani asiinjoy maisha na pesa zake?
Hata Gsm asilaumiwe na kuonwa kama mjinga kwa pesa zake mwenyewe alizotafuta mwenyewe.Hao viongozi wametoka kwenye familia zetu hawakushushwa kutoka mbinguni. Hivyo tusiwalaumu.
ASilimia kubwa ma bilionea wengi wa Kibongo Mafya. Kuzulumu ni suala la Kawaida.Kiaje tena mkuu?
ExactlyFedha ya Mgodini ni Kafala, Kutapeliana, Kuibiana, Kuuana na mauchafu mengi.
Waende Mwime, Msasa, Nyahwale, Mavota wataamini tunachokiongea.
Exactly, ni mtoto wa kaka yake ila amen mlea, anadai ana heshima sana tangu mdogo akiwa nae kwakeVyovyote Tu lakini kaamua kumfanyia send off kwa namna ambayo yeye ameona inafaa!
Ziba masikio haja KUITA umeenda mwenyewe tena na bando lako haijalishi umekopaKama unajua maana ya kelele, hizo nazo ni kelele.
Sera kuhusu kupiga pesa MTANDAONI HAITAJI elimu ya IT, cheza na mitandao, amini nilisha wahi vuta pesa, bila kutegemea bila jasho tena pesa kubwa, mitandao inakukutanisha na watu ambao Kwa kawaida huwezi wapata.Ile nyekundu🤭
Kati ya hao watu wengi na wewe si umo shemeji?Huwezi kunifahamu, mwanza kubwa na watu ni wengi mno!
Hmm tell me more..Sera kuhusu kupiga pesa MTANDAONI HAITAJI elimu ya IT, cheza na mitandao, amini nilisha wahi vuta pesa, bila kutegemea bila jasho tena pesa kubwa, mitandao inakukutanisha na watu ambao Kwa kawaida huwezi wapata.
Kosa hela ya kula si ya bando, jichanganye, kupiga pesa siku hizi ni akili tu za mtaa na si za darasani, mtu katoa milioni 25, Instagram bila kukutana na mlengwa anae mtumia just trust tu, Kuna watu wana hela na hawana kazi nazo amini Hilo.
Ndio, kuzurura ndio sijawahi kuweza, kwahiyo sio mimi, 😅 halafu jibu ujumbe wangu!Kati ya hao watu wengi na wewe si umo shemeji?
una elfu 60 za mchezo?So Ku print hilo bango si hata mimi naweza au?
Word of the day 🤣🤣🤣. Well said.Habari za matajiri waulize maskini
Kufundisha English course, Kwa miez mitatu na Zaid, itategemea mlengwa atahitaji miez mingapi, Kwa mwezi Mmoja ni EF 30 tu Kwa mtu Mmoja, Kwa njia ya chatting, watu kumi ni laki tatu bila jasho inaingia, ukijenga trust unakusanya Kijiji chako, fb, inst, TikTok huwezi kosa watu 40 Kwa mwezi una milioni 1.2 sio kazi Yako halali hiyo. Tuishie hapa sikwambii kingine, tutamwaga Michele kwenye kuku wengi, sipendiHmm tell me more..
Hmm hii ya english course watu wana app zao tayari! hizo za kuingia live mitandoni hata sitaweza! napenda nikae na pc yangu iniingizie pesa ila bado sijajua how!Kufundisha English course, Kwa miez mitatu na Zaid, itategemea mlengwa atahitaji miez mingapi, Kwa mwezi Mmoja ni EF 30 tu Kwa mtu Mmoja, Kwa njia ya chatting, watu kumi ni laki tatu bila jasho inaingia, ukijenga trust unakusanya Kijiji chako, fb, inst, TikTok huwezi kosa watu 40 Kwa mwezi una milioni 1.2 sio kazi Yako halali hiyo. Tuishie hapa sikwambii kingine, tutamwaga Michele kwenye kuku wengi, sipendi