Sadaka ya partner ndo niliiskia kwa kuhani Musa mpk laki tano niliduwaa
Makanisa yanatengeneza pesa kuliko viwanda mjomba. Huyo kuhani Msa bonge la msanii alikuwa anakula demu miaka minne bila kuoa na wanapigana mapicha mpaka zilivyovuja alafu anahubiri kilaleo kanisani na kutoa maunabii na mapepo dadadadadekiii!
 
Hivi hawa madenzi wa polisi walifuata ninj pale kuweka utepe????
 
Walioandika barua ya kumfungia kanisa Gwajima ndo walioandika barua ya Ndugai kujiuzulu
Ni kikundi cha watu wachache ambao huwa wanakurupuka bila kufanya jambo. mara nyingi kwa amtukio tofauti wamekuwa wakikurupuka

Hawajipangi, hawa plan, hawapimi outcomes pro and cons . Is why yakifika mahakamani wanaaibika
 
Serikali ya kinafiki sana. Wale maaskari na walitumwa na nani? Je wangeumiza au kuuwa leo wangeeleza nini dunia.

Wale waliopelekwa polisi wawafungulie wale maaskari kesi ya kuwafidia.

Tunatakiwa tufundishane sheria bila shuriti
 
Ngoja Tusubiri majibu ya Albert Msando msimamizi na mtekelezaji wa barua za mamlaka.
 
DC Msando mbona anajua ni barua halali. Wale mapolisi pia
 
Kwanini barua ilipotoka mitandaoni wao wizara hawakutokea kukanusha kwamba sio wao?
 
Makanisa yanatengeneza pesa kuliko viwanda mjomba. Huyo kuhani Msa bonge la msanii alikuwa anakula demu miaka minne bila kuoa na wanapigana mapicha mpaka zilivyovuja alafu anahubiri kilaleo kanisani na kutoa maunabii na mapepo dadadadadekiii!
Hahahaha kumbe secretarybird anaagiza asali kutoka mwambani anatumiwa kwa ndege,
 
Ni kikundi cha watu wachache ambao huwa wanakurupuka bila kufanya jambo. mara nyingi kwa amtukio tofauti wamekuwa wakikurupuka

Hawajipangi, hawa plan, hawapimi outcomes pro and cons . Is why yakifika mahakamani wanaaibika
Nadhani ni wale tunaowaita intellectual disabilities (wahafidhina wenye utindio wa ubongo) hawataki kubadilika wanadhani nchi bado ipo katika u-communist

Nao hao ndio wako katika nafasi nyeti za kimaamuzi, is why unashangaa taasis zinapokurupuka na maamuzi ya ajab ajab

Hawa wamepelekwa uko na chama ili iwe rahis kwa chama ku control na kuzitumia hizo taasisi kwa manufaa yao

Katiba inatakiwa iondoe such power, else wajinga watalipeka hili taifa semeh mbaya sana
 
haya ndio madhara ya kuwa na askari wenye uwezo mdogo kiakili walikurupuka kwenda kufunga na kuzuia watu eneo la kanisa bila kujua uhalali wa barua hiyo
 
Yani aliyeleta barua kanisani na kusambaa mitandao huku waziri wa mambo ya ndani kufungia ila baada ya kuona maji shingoni wanasema hii barua kutotamburika wizarani.

Na aliyepost Mirrad Ayo

..mbona Polisi walikwenda kutekeleza yaliyokuwepo katika barua hiyo?

..Nani alindika barua, na nani alitoa maelekezo kwa Polisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…