Nafikiria hivyo, but wawe wanajipa muda kidogo angalau week 2 ndyo wanafutaWaliutoa kwa nia njema
Hatari sana mkuuMimi kuandika humu niliacha kumbe unaandika mtu asipopenda wanafuta nimekuwa msomaji na kukomenti tu mengine niliona ujinga au unaandika uzi wanaunganisha
Uko sahihiMm nadhani tukubaliane tu kwamba serikali imeamua kufanya kazi zake kihuni tu. Ile barua ni halisi Ila iliandikwa kihuni kwa malengo kwamba maji yakifika kooni waikane.
Haiingii akilini kwamba polisi na mkuu wa wilaya walifanyia kazi barua ya mitandaoni bila kupata maagizo rasimi ya kiofisi.
Tuna serikali ya hovyo isiyojitambua na inayoendeshwa na incompetent fellas
Twendeni polepole tu hamna namnaJf siku hizi imekua na uoga sana wa Gavo sijui ni maokoto Wana hofu au wanahofu ya kina Mayalla(njaa),nafikiri huko mbeleni wataeza kutoa hata ID za watu.
Twendeni polepole humu Kuna alarm inaita
NENDA MAHAKAMANIMara baada ya kuzagaa kwa taarifa ya kufungiwa shughuli za ibada katika kanisa la ufufuo na uzima, chanzo changu makini kilinipenyezea kuwa hiyo barua ilikuwa ni fake, ilitengenezwa na kikosi ambacho kinaongoza operatio za tekateka makusudi kabisa ili kumpa jamba jamba askofu mwenye kanisa lake ili ajue wakiamua chochote hakuna kitu atawafanya.
Ukiiangalia ile barua haikuwa na sahihi yoyote, baada ya watu wengi kuhoji wakatupia kijibarua kingine chenye sahihi ambacho kimsingi kilikuwa ni fake kabisa, ukitaka kujua vizuri kuna kiongozi mwandamizi wa police force ya Afghanistan alijua kinachoendelea akawachimba biti na kuweka utepe kuzingira mahali pa kusujudu kwa kiongozi wa kiroho, but chanzo changu kiliniambia ni mchongo tu, wala hakuna kinachoendelea, chanzo kilisisitiza tulia watu waende kwa court yatavumbuka mengi, now binadamu wote mmejionea.
My take, moderators msiwe mnafuta au kuunga nyuzi za watu kwa kuweka kumbukumbu sawa.
Mkuu ni ajabu sana, nakuongezea na hii uisome mara baada tu ya serikali kuthibitisha kuwa barua ilikuwa fake, soma taratibuSasa kama hiyo barua ilikuwa ni fake, kwa nini polisi walilizingira Kanisa, kuliwekea utepe, kukamata baadhi ya waumini pasipo makosa yoyote! na kuwapiga marufuku kuingia na kusali?
Au ni kusema kwa sasa nchi haina serikali ya kuzuia haya mambo ya kipuuzi kuendelea kushamiri kwenye jamii yetu?
πππ Inachekesha yaani barua ni fake na wizarq husika imekaa kimya kabisa wakati Kuna watu wanaichafua kazi ya Taasisi yao wizara siilipaswa kumchukulia hatua huyo muandishi wa hiyo barua fake , ila tz Kuna vichekesho sanaYani aliyeleta barua kanisani na kusambaa mitandao huku waziri wa mambo ya ndani kufungia ila baada ya kuona maji shingoni wanasema hii barua kutotamburika wizarani.
Na aliyepost Mirrad Ayo
Ndo ujue tumejaza machawa kwenye nyadhifa badala ya watendaji ......
Katika serikali hii utajiuliza maswali ambayo majibu hutoyapata kamwe , kuna kusudi lipo ili litimizwe bila kuathiri taswila ya serikali katika jamiiiBarua ilikuwa feki ila Kanisa lilifungwa na Askofu anasakwa?.Kipi kilikuwa feki kipi kilikuwa halisi?.
Mkuu, ni kama jicho lako la rohoni linamulika vyema , hongera sana!Tuna polisi ya hovyo sn