Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

Wewe kumbe mpumbavu kabisa rushwa inawekewa ushahid kama unanunua shamba, hivi zinakutosha kweli wewe, ndiyo maana huteuliwi huna akili hata kidogo.
Kwa hiyo ukienda mahakamani utaweke pua yako kama ushahidi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Personal attacks ni siasa za kishamba sana. Halafu kijitu kizima kinajifanya kichungaji huku kinaendesha siasa Za maji taka. Msigwa keshakuwa mtumwa wa fikra
 
Personal attacks ni siasa za kishamba sana. Halafu kijitu kizima kinajifanya kichungaji huku kinaendesha siasa Za maji taka. Msigwa keshakuwa mtumwa wa fikra
Utapata laana kwa kumtukana mtumishi wa Mungu .
 
Hakuna swali umeuliza umeandika utoto mimi siyo mtoto mwenzako
Wewe ni zaidi ya mtoto.maana mtoto huwa ana akili na unaweza kumueleza kitu au akakuleeza kitu na ukaelewa.ila wewe upo upo tu kama debe tupu linalopiga kelele
 
Wewe ni zaidi ya mtoto.maana mtoto huwa ana akili na unaweza kumueleza kitu au akakuleeza kitu na ukaelewa.ila wewe upo upo tu kama debe tupu linalopiga kelele
Wewe ni tutusa umebakishiwa akili kiduchu ya kusifia,kuvukia barabara na kwendea chooni kukata gogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…