Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

Jumapili anasalisha na watu wanaojiita "waumini" wanamsikiliza, dah ..Shikamoo KAGAME.
 
Shida ya Msigwa ,ni kuaminisha yeye mwenyewe kwamba anayo nguvu ya kuweza isambaratisha chadema, kumbe anajidanganya Pakubwa
 
The headless chicken Lucas Mwashambwa is here again!
 
Yeye anaongea ukweli anaoujuwa vyema.kumbuka ya kuwa mchungaji peter Msigwa anaifahamu vyema sana CHADEMA na Madudu yake yote. Sasa wewe ni nani mpaka umpinge Mchungaji na Mtumishi wa MUNGU?
Sawa kashasema! So!?
 
unalazimisha ujibiwe huo ujinga ,mbona serikali yenu HAJAWAHI kujibu tuhuma za profesa LOWASa mpaka umauti wake pamoja

Acha...ibakie makosa ya jinai hayana deadline
Ninyi ma CHADEMA si ndio mlikuwa mnasema ni fisadi? Sasa mbona mlimchukua kiwa mgombea wenu?
 
Shamba Boi kiheshima yupo juu. Ndio maana anajikuta anamjadili
 
Chama Gani ? Report Ya Bashiru Ally Kakurwa Uliisoma Yote
Unadhani Tatizo Nini Haikuwekwa Bayana
Viongozi Wote Wa Gamba Wadokozi
Kweli wewe una matatizo mkubwa sana.yaani unaniuliza kama niliisoma yote halafu hapo hapo unasema na kuuliza kama ninajuwa sababu za kutokuwekwa wazi
 
Ana mipasho sana huyu jamaa
Hana tofauti na aisha mashauzi
Kuanzia leo tunamuita msigwa mashauzi

Ova
 
Nadhani Msigwa angejikita kuongelea mafanikio ya CCM badala ya kushambulia watu binafsi aliokuwa akifanya nao kazi kwa miaka mingi. Mbona kina Nasari na yule mbunge wa Momba hawana hizi pigo ingawa wametoka CHADEMA?
 
Msigwa ameenda chama cha majizi ambayo yaliiba uchaguzi 2019 &2020.

Serikali yote ni kijani tupu, matatizo yote yanaihusu CCM maana miaka hii 5 wao ndio wameshika kila kona.

Mimi sitetei wezi as long as mtu akibainika ni mwizi simtetei hata Mbowe ikibainika kaiba sitomtetea.

Msigwa anashindwa kujadili agenda nzito kama hizi ambazo chama cha majizi na huyo bibi chura kiziwi nchi inatafunwa na yeye anarembua tu huku akiwaambia wale kwa urefu wa kamba zao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…