Tubadilike tuhamie kwenye za kuchaji, tutunze mazingira yatutunze, huko ulaya mchana wanatembea na miamvuli kuzuia jua.
 
aposto kuna muujizaβ€¦β€¦β€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Muujiza gani?: bei ya petrol na disel zimelipuka badala ya kupanda

Aiseee huu ni mlipuko sio mfumuko….
Sema mlipukoooooooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Samia uchumi umemshinda kabisa
 
Nchi ipo kwenye outopiloti
 
Bei mpya tayari au inaanza kesho? Nina safar ya likizo kwenda Dar. Nikajaze saivi kama imeshaanza nabeba abiria kila.mmoja 30k πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ongezeko la 400 kwa lita ni kubwa sana
Hapo kuna watu wanapata mabilioni ndani ya siku 1 maana kama mtu alikuwa na lita milioni 2 tayari faida kapata na hii ilitegemewa maana mafuta yalifichwa mapema mno, maana bei ilishajulikana itapanda
Mwezi unaokuja itapanda tena maana dollar itakuwa imefika 2700 hivyo lita itafika 3500 hadi mwaka uishe mafuta yatakuwa 4000 huko

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…