255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,090
Naam tusubiri, nipo kuvuna viazi.Ngoja waje wa mjini wakujibu,acha nikapalilie mahindi huku bush.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam tusubiri, nipo kuvuna viazi.Ngoja waje wa mjini wakujibu,acha nikapalilie mahindi huku bush.
Mkuu kwa hili linaloendelea tunaweza tukaisingizia elimu?CCM wataitawala hii nchi mpaka wachoke wao.
Wanatumia propaganda nyepesi kabisa
Elimu wala isihusishwe ni uchawi na ushirikina ndivyo vimetumikaMkuu kwa hili linaloendelea tunaweza tukaisingizia elimu?
Ndio tuna mwanasesere pale hatuna raisi walllahiKwa utawala wa mama, hilo ni ongezeko la kawaida na haguswi na hali zetu. Sana sana atamuuliza Madilu kama kuna namna ya kuweka tozo mpya wakusanye hela za kujengea miundombinu waliyoikopea mikopo.
Tuendelee kusali maana kadiri tunavyosogelea uchaguzi ndivyo mkwamo unavyozidi kutufungua akili
Haha kivipi mkuu?Elimu wala isihusishwe ni uchawi na ushirikina ndivyo vimetumika
Si karogwa au tuseme kapigiwa mduni (kisomo) mpaka kagawa urithi wa wanaweHaha kivipi mkuu?
AyseeeKama una bundle jionee mwenyewe. ...
View attachment 2707883
Yule wa Ewura Dr Mwainyekule ndio mume wa TuliaDuh! [emoji849] hii ni maajabu!
Hadi unaambiwa jana nilikuandikia ki-memo bado unaamua kumlinda huyo wa ewura?
Amani chanzo chake ni haki!
Hakuna lisilo na mwisho.
Kila la kheri speaker!
Duh! [emoji849] hii ni maajabu!
Hadi unaambiwa jana nilikuandikia ki-memo bado unaamua kumlinda huyo wa ewura?
Amani chanzo chake ni haki!
Hakuna lisilo na mwisho.
Kila la kheri speaker!
Team Russia ivi sarafu yenu inakuja lini tuipindue dola ya marekani?Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana
======
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA, Petroli iliyokuwa inauzwa sh. 2,736 imepanda hadi 3,199 huku Dezeli iliyokuwa inauzwa sh. 2,544 imepanda hadi 2,935, kwa Dar es Salaam bei ambazo zitaanza kutumika kesho Jumatano, Agosti 02,2023 saa 6:01 usiku.
Aidha EWURA imesema sababu za mabadiliko ya bei hizo kwa mwezi Agosti 2023 ni changamoto za upatikanaji wa Dola za Marekani, mabadiliko ya sera za kikodi, kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola ya Marekani, ongezeko la gharama za mafuta katika soko la dunia na gharama za uagizaji wa mafuta.
Imesema kwa mwezi Agosti 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mikoa ya Tanga yatauzwa sh. 3,245 na Mtwara ni sh. 3,271.
Umewahi kutafuta dola kwa siku za karibuni ukaona bei yake?Dola inatusaga hapo sio vizuri tusidanhanyane