Labda hujaelewa lugha, hakuna sehemu BOT wamesema ipo yakutosha,wao wamesema watahakikisha wanaendeleza kutoa dollar kwa mabenki.

NB: Kumbuka mabenki hupata dollar kutoka BOT

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
EWURA Kuna tatizo basi...!!!
====
Tuachane na dola tuanze kutumia dhahabu na almas kuagiza vitu. Pia "tutengeze fedha zetu" wenyewe!
 
Labda hujaelewa lugha, hakuna sehemu BOT wamesema ipo yakutosha,wao wamesema watahakikisha wanaendeleza kutoa dollar kwa mabenki.

NB: Kumbuka mabenki hupata dollar kutoka BOT

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
BOT wametumia code kujisafisha,wachumi wa ccm ndio mnasema dollar hakuna,tumuamini wachumi wapi hapa? Wauzaji wa bandari au BOT?
 
Mmoja kati yao ni mwongo. Mafuta yanayouzwa mwezi huu yamenuniliwa lini? Sio miezi mitatu iliyopita??

EWURA na wizara ya nishati kuna tatizo. JPM asingefanyiwa ujinga ujinga kama huu.
 
Nchi hii ujanja ujanja mwingi mnoo, wameshatuona mazoba.
Nadhani tunatakiwa kuandaa utaratibu unaosimamika wa kuiwajibisha serikali, Bunge, na Mahakamani!

Haiwezekani mihimili inafanya makosa ya wazi na Ina " get away with it" kirahisi Rahisi namna hii.
 
Nadhani tunatakiwa kuandaa utaratibu unaosimamika wa kuiwajibisha serikali, Bunge, na Mahakamani!

Haiwezekani mihimili inafanya makosa ya wazi na Ina " get away with it" kirahisi Rahisi namna hii.
Kuna mahala sisi watanzania wenyewe tunapakosea.. bila kuzinduka hakunq kitakachobadilika.
 
Wewe Chawa ndo wa kutusaidia kuelewa.
 
Wakuu kwema?

Naona katikati ya sakata la mafuta na Dp world ghafla naona almasi na kiba, harmonize na kajala.. Huko mjini ni kwema kweli?
 
Wakuu kwema?

Naona katikati ya sakata la mafuta na Dp world ghafla naona almasi na kiba, harmonize na kajala.. Huko mjini ni kwema kweli?
Ngoja waje wa mjini wakujibu,acha nikapalilie mahindi huku bush.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…