Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni wapigaji sana aiseHicho chama hawana hata kiwanja tu cha kujenga hiyo ofisi!
Sawasawa
Majengo ni truestChama kilichokufa kinategemea dola kubak madarakani.
Hivi majengo ndio kura?.....
Hawajielewi,Chadema mnatuangusha sana.
Ni Manyara Ndio,Arusha na Manyara ni mikoa miwili tofauti....shame on you🤣🤣
Kodi gani hiyo, Chama kinaruzuku mbonakodi yako inatoka serikalini kuendeleza chama cha ccm
Mbowe ni mchaga yule HahahaMada chokozi San hi
Ila CDM muwe serious kwenye ujenzi wa ofc acheni ulaji ulaji
Ila mm naamini siku CDM wakimpa msingwa uwenyekiti CDM itakwenda mbele Sana sema unajuwa nn kina msigwa siyo wapigaji au heche
Hizo bil. 18 ni za kuendesha chama siyo tawi, hawa wanachota pesa za serikali pamoja na ruzuku, hauna hoja.Kuna Chama kikubwa cha Upinzani hapa Tanzania Kati mwaka 2015-2020 kilikusanya zaidi TZS 18bln ikiwa ni pesa ya ruzuku Ila mpaka naandika makala hii Kuna baadhi ya majengo yao pale HQ Wanapanga, CCM itabaki ni Chama kiongozi na tutaongoza kwa kapindi kirefu sana.
Bl 18 jamani bila Ofisi kweli?!Hizo bil. 18 ni za kuendesha chama siyo tawi, hawa wanachota pesa za serikali pamoja na ruzuku, hauna hoja.
Pesa hizo ni kwa matumizi ya chama, umeme, kodi, mishahara, magari, posho, maji na mengineyo, CCM ilichota tri.1.5 pesa za serikali kulipa mishahara na matumizi mengine.Bl 18 jamani bila Ofisi kweli?!
safi sanaKuna Chama kikubwa cha Upinzani hapa Tanzania Kati mwaka 2015-2020 kilikusanya zaidi TZS 18bln ikiwa ni pesa ya ruzuku Ila mpaka naandika makala hii Kuna baadhi ya majengo yao pale HQ Wanapanga, CCM itabaki ni Chama kiongozi na tutaongoza kwa kapindi kirefu sana.