PICHA: Hii ndio Ofisi Mpya ya CCM Arusha iliyokaguliwa na Rais Samia, kuna Chama kilikusanya zaidi ya TZS 18bln Ofisi yao ya Taifa inazidiwa na hii

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
IMG-20221123-WA0136.jpg

IMG-20221123-WA0089.jpg
Kuna Chama kikubwa cha Upinzani hapa Tanzania Kati mwaka 2015-2020 kilikusanya zaidi TZS 18bln ikiwa ni pesa ya ruzuku Ila mpaka naandika makala hii Kuna baadhi ya majengo yao pale HQ Wanapanga, CCM itabaki ni Chama kiongozi na tutaongoza kwa kapindi kirefu sana.

IMG-20221123-WA0139.jpg

IMG-20221123-WA0132.jpg

IMG-20221123-WA0137.jpg
 
Mada chokozi San hi

Ila CDM muwe serious kwenye ujenzi wa ofc acheni ulaji ulaji

Ila mm naamini siku CDM wakimpa msingwa uwenyekiti CDM itakwenda mbele Sana sema unajuwa nn kina msigwa siyo wapigaji au heche
 
Mbowe ni mchaga yule Hahaha
 
Kuna Chama kikubwa cha Upinzani hapa Tanzania Kati mwaka 2015-2020 kilikusanya zaidi TZS 18bln ikiwa ni pesa ya ruzuku Ila mpaka naandika makala hii Kuna baadhi ya majengo yao pale HQ Wanapanga, CCM itabaki ni Chama kiongozi na tutaongoza kwa kapindi kirefu sana.

Hizo bil. 18 ni za kuendesha chama siyo tawi, hawa wanachota pesa za serikali pamoja na ruzuku, hauna hoja.
 
Back
Top Bottom