Kwani yeye Rais Samia alikuwa sehemu ya nani?Huyo makamu wa rais na PM ni sehemu ya hayo majanga ya yule dhalimu.
Huyu bibi dodoma amegoma kwenda anafanya nini dar
Mimi nacheka tu, kila kukicha unabadili malalamiko.Huyo makamu wa rais na PM ni sehemu ya hayo majanga ya yule dhalimu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu mna manenoMaushungi kashindwa kazi. Nchi ni kama haina rais vile .
Bado hujacheka vizuri, utacheka sana muuza face.Mimi nacheka tu, kila kukicha unabadili malalamiko.
Even meSijaona umuhimu wa uzi huu
Duh! Kuuza face ili iweje?Bado hujacheka vizuri, utacheka sana muuza face.
CabinetEven me
Ingekuwa kashindwa saa hizi makongamano ya katiba yangekuwa yameshafanyika, si mwanza tu bali nchi nzima. Pia mbowe angekuwa ameshaachiwa ndani ya siku moja km walivyoamuru chadema. Km hilo halitoshi, chanjo isingekuwepo km mwenye chuki pole pole anavyotaka na hata tozo ingekuwa imeshaondoka. Atapiga maendeleo na hamtaamini na nia zenu mbaya.......mtayasema wenyewe, mtake msitake. Naamini ni suala la muda tuMaushungi kashindwa kazi. Nchi ni kama haina rais vile .
Binladen wa bongo😂😂Leta wako wa gaidi , mbowe
USSR
Ingekuwa kashindwa saa hizi makongamano ya katiba yangekuwa yameshafanyika, si mwanza tu bali nchi nzima. Pia mbowe angekuwa ameshaachiwa ndani ya siku moja km walivyoamuru chadema. Km hilo halitoshi, chanjo isingekuwepo km mwenye chuki pole pole anavyotaka na hata tozo ingekuwa imeshaondoka. Atapiga maendeleo na hamtaamini na nia zenu mbaya.......mtayasema wenyewe, mtake msitake. Naamini ni suala la muda tu
Ulitaka ashauriwe na binladen?Kuruhusu kushauriwa na lile genge la yule mtawala muovu.
Nimekupata kamanda, kutopoteza sifa unamaanisha kwenda sawa na matakwa ya chadema ya katiba mpya, au sio? Ukweli ni kuwa sasa ndo ataweza kuongoza na kufanikisha vizuri.......angeendelea km alivyoanza kuwasikiliza hawa jamaa kiroho safi na kiupole, saa hz angelikuwa ameshaanza kuona joto la jiwe; ye akiwatangazia wananchi kuwa wafanye usafi, chadema wangepita baadae kuwaambia marufuku kufanya usanyi. Tumeyaona sana haya kipindi cha kikwete. Ajaribu aone! Kawaonyesha ubinadamu tu kidogo wa kuwatoa jela na kuwafutia kesi, tayari wanampangia habari za katiba mpya na maandamano km shukraniHuyu mama kapoteza sifa yake kwa namna ambayo kuna muda huwa nikikaa namsikitikia sana.Alianza vizuri mno mno.
Mkuu unawaza kama mimi,nashangaa sana namna tunavyoweka mambo yetu,hapo ndipo kikao cha baraza la mawaziri kinafanyikia yaani dah..Ila Watanzania hatuwezi kufanikiwa kwenye anga za uchumi wa ushindini. Eti Hii ni picha ya ikulu?
Kikao cha Baraza la Mawarizi? Angalia lile bango nyuma ya hao mawaziri, ubora wa bango na lilivyoegeshwa kwa mbao?! Ungetegemea watu watumie fursa kama hizi kutoa vitu vyenye ubora vya kutangaza mbuga zetu ila mhhhh
Ile kubwa Chamwino ndiyo iko kwenye ujenzi,ila mule ndani kuna jengo la ofisi ya Rais na liko na ukumbi mkubwa tu wa kufanyia kikao kama hiki..Lakini last time walikaa Dodoma Ila Ikulu ndogo nadhani Ile kubwa haijakamilika baadhi ya miundombinu
Nikiangalia ulichoandika nakubaliana na hoja kwamba Mtanzania ni sokwe aliyedumaa 🤣 🤣 .Nimekupata kamanda, kutopoteza sifa unamaanisha kwenda sawa na matakwa ya chadema ya katiba mpya, au sio? Ukweli ni kuwa sasa ndo ataweza kuongoza na kufanikisha vizuri.......angeendelea km alivyoanza kuwasikiliza hawa jamaa kiroho safi na kiupole, saa hz angelikuwa ameshaanza kuona joto la jiwe; ye akiwatangazia wananchi kuwa wafanye usafi, chadema wangepita baadae kuwaambia marufuku kufanya usanyi. Tumeyaona sana haya kipindi cha kikwete. Ajaribu aone! Kawaonyesha ubinadamu tu kidogo wa kuwatoa jela na kuwafutia kesi, tayari wanampangia habari za katiba mpya na maandamano km shukrani
Kwahiyo hayo ndo unahitimisha kuwa ameshindwa?!! Hivi ulisifia chochote alipogundua hilo suala la wizi? Maana hata hatujui ulianza lini. Kesi ni mchakato, inatoka inapokamilika si pale wanapotaka watu fulani waliokaa kimitego na majungu ba husda.Ni kweli ameweza sana, hebu tuambie yule aliyejiunganishia bomba la mafuta kafungwa miaka mingapi? Waziri Mkuu alisema reli ya SGR kipande cha Dar-Moro kitaanzasafari mwezi huu wa 8, ni wapi tiketi zinapatikana nataka kwenda Morogoro kwa hiyo treni mwezi huu
Mi pia nikiangalia hiko ulichoandika na kukuchekesha, nakubaliana moja kwa moja na wanaokuiteni MANYUMBUNikiangalia ulichoandika nakubaliana na hoja kwamba Mtanzania ni sokwe aliyedumaa 🤣 🤣 .