Nadhani pia wameangalia mawaziri wengi kwa muda huu wapo DSM although haina justification ya gharama maana kiukweli tunaingia gharama kubwa sana kuhudumia Ikulu kuu mbili.Ile kubwa Chamwino ndiyo iko kwenye ujenzi,ila mule ndani kuna jengo la ofisi ya Rais na liko na ukumbi mkubwa tu wa kufanyia kikao kama hiki..
Umeongea utoto Sana. Acha niishie hapoIngekuwa kashindwa saa hizi makongamano ya katiba yangekuwa yameshafanyika, si mwanza tu bali nchi nzima. Pia mbowe angekuwa ameshaachiwa ndani ya siku moja km walivyoamuru chadema. Km hilo halitoshi, chanjo isingekuwepo km mwenye chuki pole pole anavyotaka na hata tozo ingekuwa imeshaondoka. Atapiga maendeleo na hamtaamini na nia zenu mbaya.......mtayasema wenyewe, mtake msitake. Naamini ni suala la muda tu
Huyu jamaa ni national disgrace kabisa,kijana akishakuwa ccm lazima awe rubbish.Umeongea utoto Sana. Acha niishie hapo
Mwendazake aliwaambia kirusi hakiishi kwenye damu ya Yesu na yenyewe yakaamini eti taifa limekombolewa na hakuna CORONA,acha yafe kama kenge.Kenge huwa haelewi mpaka atoke damu puaniNi vizuri kuona wamevaa barakoa. Tumechoka kuomboleza.
Kweli. Hii ni takataka ya taifaHuyu jamaa ni national disgrace kabisa,kijana akishakuwa ccm lazima awe rubbish.
MATAGA ni manyumbu sana 🤣 🤣 🤣 ,yalifika mahali mwendazake akayadharau mpaka akaanza kuyaambia siku ina masaa 48 manake alijua hayana akili😛😛🙌🙌Kweli. Hii ni takataka ya taifa
Kwahiyo hayo ndo unahitimisha kuwa ameshindwa?!! Hivi ulisifia chochote alipogundua hilo suala la wizi? Maana hata hatujui ulianza lini. Kesi ni mchakato, inatoka inapokamilika si pale wanapotaka watu fulani waliokaa kimitego na majungu ba husda.
Hilo suala alilolitangaza waziri mkuu; je, leo unapolaumu umejiridhisha kuwa factors zote zilikuwa constant kutoka siku hiyo hadi hii leo?!!
Siku ina masaa 48,si nikweriiii jaman? 🤣 🤣 🤣Haya, ngoja the tuendelee kuangalia
Hii nchi ni ya kipuuzi Sana wahalifu wakubwa na wahujumu uchumi wakubwa wanapeta mitaaani, yaani mtu kajiunganishia Bomba la mafuta yupo kitaa anavuta shisha, mwingine kakutwa na mapesa lukuki kwenye ndoo nyumbani anakula Bata anakuja kukamatwa Mbowe kisa kudai katiba eti ni GAIDI[emoji144]Ulitaka ashauriwe na binladen?
''Tunatoa masaa 3, mwenyekiti wetu aachiwe; la sivyo tutaitisha maandamano nchi nzima!''. Leo unakaribia mwezi......Siku ina masaa 48,si nikweriiii jaman? 🤣 🤣 🤣
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186
Huyu mama mvuto wote umepukutika utadhani amemdhulumu mganga wake kama Mwinjuma Muumini !Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186
Hivi ndivyo vipimo vyako vya kuweza?Ingekuwa kashindwa saa hizi makongamano ya katiba yangekuwa yameshafanyika, si mwanza tu bali nchi nzima. Pia mbowe angekuwa ameshaachiwa ndani ya siku moja km walivyoamuru chadema. Km hilo halitoshi, chanjo isingekuwepo km mwenye chuki pole pole anavyotaka na hata tozo ingekuwa imeshaondoka. Atapiga maendeleo na hamtaamini na nia zenu mbaya.......mtayasema wenyewe, mtake msitake. Naamini ni suala la muda tu
Hili jambo lina kitu nyuma yake, siyo bure.Factors zipi boss, IGP alisema ndani ya siku 7 atatoa taarifa rasmi ya huo wizi, mpaka leo kimya na ni zaidi ya mwezi. Au unadhani ukiongea kiswahili na kuchomeka vijimaneno vya kiingereza ndio utaonekana msomi?
Hayo uliyotaja ndio hitimisho lako kuwa amefanikiwa? Au unajichanganya nini boss. Sina chochote cha kusifia kwa hayo majizi ya kura, na aliyegundua hilo suala la bomba la mafuta alikuwa Mkuu wa wilaya, ila hao wanajiita wakubwa wakalipotezea maana wanalijua kwa undani wake. Kwa maneno marahisi wana mahusiano na huyo mwizi wa mafuta.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186
Wenyewe tuna sema KANYANGA TO THE HOUSEHuyu mama kapoteza sifa yake kwa namna ambayo kuna muda huwa nikikaa namsikitikia sana.Alianza vizuri mno mno.
Fisadi n mkwele ndiyo mshauri wake ila tumepatana chochote tunacho panga kikibuma lawama tutazipeleka kwa hayati MagufuliKuruhusu kushauriwa na lile genge la yule mtawala muovu.