KAMA wewe ni makazi wa Dar es Salaam na viunga vyake, embu tupatie hali ikoje kwa eneo lako mpaka sasa, na kama utapata picha ya maafa unaweza kutuma hapa ili tujuzane ni barabara zipi mpaka sasa zinapitika na ipi imefunga mpaka sasa,

Update itatusaidia kutoka sehem moja mpaka nyingine kwa urahis ikiambatana na kuokoa watu lπŸ™πŸ½
 
TMA wamekukasimu Jukumu la Communication Manager na PR Executive Wao ili utuulize au ni Kiherehere chako tu?
 
Duh!... Huko Daslaam mvua ni maafa na sio baraka kama huku mikoani ?...πŸ™„πŸ™„πŸ™„

Ndio maana mnatuacha stendi hamtaki kutupokea tukija huko.

Saint Anne Chizi Maarifa To yeye
 
TMA wamekukasimu Jukumu la Communication Manager na PR Executive Wao ili utuulize au ni Kiherehere chako tu?
Nikiherehere changu na ni kwa sababu ya update za mji ili tujue tunaishije kama wananchi maana taarifa zinachelewa sana so ukitupa update itasaidia sana, hakuna maendeleo bila taarifa, kama utaona inafaa tusaidie kama unaona mambo meusi pita vile
 
Tukupe update wewe kama nani? Stupid kabisa kwahiyo tukikupa update ndiyo utatulimia mahindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…