Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mtani falar sana😂Lipo kawe hapo linatafuta umbea wa wale jamaa , linatafuta makosa yao lilete humu😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani falar sana😂Lipo kawe hapo linatafuta umbea wa wale jamaa , linatafuta makosa yao lilete humu😂😂😂😂
😂😂😂😂mambo ni mengi muda mchacheDuh!... Huko Daslaam mvua ni maafa na sio baraka kama huku mikoani ?...🙄🙄🙄
Ndio maana mnatuacha stendi hamtaki kutupokea tukija huko.
Saint Anne Chizi Maarifa To yeye
Ewe kama nani? MshenziUzi unasema unipe mm taarifa au utoe taarifa kama hutaki kutuambia unaweza pita kule sio kujaza sever na cmmt za kitoto hvyo fikiria kidogo basi
Wapi hapa mkuu?
Sawa bilionea mwenye makasiriko🙏🏽W
Ewe kama nani? Mshenzi
Dar wakiona manyunyu tu wanasema ni ElninoSi juzi tu mlikuwa mnawabeza TMA waliposema mvua kubwa zinakuja
Aisee Niko hapa Katavi, Kuna joto la ajabuWa Dar njoni Mwanza maana joto na jua lenu limehania huku.
Dar mko vizuri kushinda Sumbawanga, mumeamua kuahamishia bahari mitaani!!!!
😂😂Hatumalizii 1978 tukiona tu November 2 basiHahahahaha View attachment 2800996
BunjuWapi hapa mkuu?
Last year wamezikosa huu mwaka ni wao😅Wale jamaa pale Jangwani wameshapeleka mashine zao? Dah walikua hawajala pesa muda mrefu sana
Ndio kama hivi kwa sasaDar mko vizuri kushinda Sumbawanga, mumeamua kuahamishia bahari mitaani!!!!
Sisi Mwanza tumeshindwa kuleta victoria milimani kwakweli!!!!