Ni vizuri unavyosema hivo ukatoa na maelekezo pamoja na mafundisho nini kifanyike, ikiwa na maana kuwa hamasa ukizingatia kuwa huyo jamaa ni mkurupukaji ndo mana hata viongozi wenzie na wananchi kwa ujumla hawampendiNdiyo maana nikasema ni kosa letu sisi wananchi. Tukimkataa ni lazima atamwondoa. Na siyo kumkataa kwenye mitandao kama tunavyofanya sasa! Kumkataa kwa vitendo!
Nani kamwambia yy MTU anajiita baba keagan unaenda polisi? Ni sawa hapa remote nikwambie kuripoti polisi waambie makonda kasema nonsense jamaa anadhirisha ziro yake form 4Tayari kisha ambiwa ku report kituo chochote cha polisi
Maelezo gani taena mazee wakati nimesema ni wananchio wote kwa umoja wetu kumkataa? Nini kifanyike? Tumkatae.Ni vizuri unavyosema hivo ukatoa na maelekezo pamoja na mafundisho nini kifanyike, ikiwa na maana kuwa hamasa ukizingatia kuwa huyo jamaa ni mkurupukaji ndo mana hata viongozi wenzie na wananchi kwa ujumla hawampendi
Naona umehamia chadema kabisa, hadi unamponda boss wako@"Chachu Ombara,
Nasikia Idrisa analeta furaha pale jumba kubwa. Makonda amechemka sana. Kigwangalla hongera naon unafanya kazi vyema. Idrisa hana kosa lolote
How? Comeout with a conclusion guy,Maelezo gani taena mazee wakati nimesema ni wananchio wote kwa umoja wetu kumkataa? Nini kifanyike? Tumkatae.
Nadhani Ni ucheshi tu yaani comedy, kwani angeshindwa kuwaambia police wamkamate. Huyu dogo nayeye kajitakia muwage munaangalia watu wakutania, siungeenda kwenye party ya Irene owoye ukawatania hukoMkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa Telegram, kwa jina la Baba_Keagan amepakia ujumbe unaosema ''Naona mipaka ya kazi yako huijuwi. Nenda sasa hivi kituo chochote Cha polic uwambie Makonda kaniambie nije utakuta ujumbe wako''
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, mchekeshaji Idris Sultan alipakia picha mbili za Rais Magufuli ambazo zimehaririwa na kuandika maneno haya "Kwa siku moja tukabadilishana kazi ili a-enjoy birthday yake kwa amani''
Ikumbukwe jana ilikuwa ni siku ya kusherekea mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa Rais Magufuli na watu, taasisi na mashirika mbalimbali ya walituma salamu za siku ya kuzaliwa.
Kuna wengine walienda mbali mpaka kutengeneza video za utani, mfano Mchungaji muhuni, Masanja Mkandamizaji alipakia video ikimuonesha akiimwagia maji picha rasmi ya Rais Magufuli inayotumiwa kwenye ofisi,taasisi na mashirika mbalimbali kwa mujibu wa sheria.
======
UPDATES
Baada ya mchekeshaji Idris Sultan kutakiwa ajisalimishe Polisi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema yupo Tayari kumuwekea Mwanasheria wa kumtetea na kumdhamini Msanii huyo.
Ameyasema hayo kwenye Ukurasa wake wa Twitter. "Nimeambiwa kuna msanii wa vichekesho anatafutwa na polisi, akikamatwa mniambie, nitajitolea mwanasheria wa kwenda kumuwekea dhamana na kumtetea. Rais wetu ni mtu wa watu na imejidhihirisha kwa jinsi wananchi walivyojitolea kumuombea dua siku ya kuzaliwa kwake! Wameonesha upendo". Amesema Kigwangalla.
Halafu nchekie kwenye Google huyo mutu kwa avatar yako alishakufa au bado yupo hai?Maelezo gani taena mazee wakati nimesema ni wananchio wote kwa umoja wetu kumkataa? Nini kifanyike? Tumkatae.
Hii ina make sense!!Mpaka mmalize hili. CCM washachukua form wote huko mitaani na Wapinzani watabakia wakibishana Baba Keagan ni nani? Haw watu wanafanya kitu kuktutoa nje ya mstari.
Huyu ni Dustin Hoffman na yuko hai. Picha ya karibuni ni hii. Ana miaka 82 sasa.Halafu nchekie kwenye Google huyo mutu kwa avatar yako alishakufa au bado yupo hai?
Trump karibu kila Jumamosi watu wanamchamba yeye, familia yake, baraza lake la mawaziri, mkewe, mpaka vimchepuko vyake. Saturday Night Live.Vinyago vya Trump anavyotengenezewaga angeshakamata watu wote duniani
Yaani mpaka hasira, huu ushamba umekuwa sasa kama sifa kwa taifaKama Mimi nj idris nisingeenda kuripoti. Kwakuwa simfahamu baba keagan ni nani?
Huyu Mr ziro anataka kutolea matamko cheo chake cha kiserikali kupitia jina la kihuni mitandaoni?
Wahed gademit kabisa ndio aliscore FFFFFFFFFFFFFF Form4 nisawa na magu atoe amri kwa jina la babajesca, could it sound? Yani tunaongozwa na watu malimbukeni na washamba kuipitiliza.