Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Kuna utani katika hayo maandishi ya Makonda? Alikuwa serious ila ameona watu wamepokea maagizo yake kwa hisia tofauti (na pengine Admini amemwambia amuachie Idriss) ndio mnatafuta kujitetea. Acha kutetea ujinga
 
[QUOTE="Chachu Ombara,
Hahahahhahahahaa yani Makonda anajua kabisa Magufuli akiachia kiti kwa dakika moja tu, yeye (Mkonda) habari yake ndiyo inaishia hapo.

Cheki alivyopaniki
 
Kuna utani katika hayo maandishi ya Makonda? Alikuwa serious ila ameona watu wamepokea maagizo yake kwa hisia tofauti (na pengine Admini amemwambia amuachie Idriss) ndio mnatafuta kujitetea. Acha kutetea ujingaView attachment 1249334
Hatamie nimeona Ni utani tu ila ukitaniana na Simba anaweza kukurarua na makucha kumbe Ni utani
 
Tuonyeshe kwanza lini walitaniana ili tuamini unachosema?
 
Idrisa amesema ameenda vituo vyote amekuta polisi wanaimba happy bithday to you happy bithday Baba yetu wakamwambia na yy aimbe kisha aondokee
 
Mmeona kilamtu anaona kaongea mavimavi basi mnaaza kubalisha lengolenu msingesubilia watu wapanic
 
Usiwe mwepesi wa kuhadaika na maneno ya wanasiasa. They know when and how to say what!

Kama unadhani ukweli ndiyo huo nikupe pole na nachelea kusema utahangaika sana.
 
gstar,
Anajikosha baada ya kujipakaza aibu mwili mzima, apiye wapi anuke
 
Hamtaweza kumsafisha katika hilo.

Kila mtu anajua kua alikuwa serious
 
"Naona mipaka yako ya kazi HUIJUI"
hiyo sentensi hapo inaonyesha U serious wa mtoa taarifa.
 
Daud :Siwezi kukubali baba yangu adhalilishwe namna hii.
Kigwa: Baba yako nani? Wako si yuko Kolomije?!!
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…