Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Watu wanauliziaga umuhimu wa vyeti haya njooni muone alichofanya DAB uku ndiyo maana wanaombaga vyeti vyake.

Jana katukana wenzie wanashinda Twitter wanasahau maendeleo on a kituko alichofanya yani hata Mheshimiwa Rais aliona atacheka may be awe katumwa.
 
Sijui, nielezee kwa vifungu
Mnapenda sana kuwa entertained lakini kwa kusakizia wenzenu. Na wewe si ufanye tu kama Idrissa, labda unaweza kupata vifungu vyote mpaka vya vitunguu na nyanya chungu.
 
@="Chachu Ombara,
Ngoma ikilia San hupasuka days arenumbered
 
@"Chachu Ombara,
Nasikia Idrisa analeta furaha pale jumba kubwa. Makonda amechemka sana. Kigwangalla hongera naon unafanya kazi vyema. Idrisa hana kosa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…